an
aendana na ile picha aliyoweka,atakuwa ndo huyu,kuna shida naiona kupitia haiba yake,jamani anahitaji msaada huyu.serious.Sept 28, 2014
Huyu ni wewe?
View attachment 490844
Deogratius Kisandu akiwasalimia wananchi wa Lwandai kata ya Mlola wilani Lushoto baada ya kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi kwenye mkutano wa hadhara ulioongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana .Deogratius alishawahi kuwa na nyanzifa zifuatazo kwenye chama cha NCCR Mageuzi,Katibu Mwenezi Taifa kitengo cha Vijana (2013) na Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa ya NCCR-Mageuzi (2014
Michuzblog