Nitafurahi Kikwete akipelekwa mahakamani The Hague

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,820
What goes around comes around, hii ndio kanuni inayo endesha dunia, licha ya kuwa haipigi kelele. Tumesikia mauaji ya kutisha yanayofanyika kila siku sehemu mbalimbali CHADEMA wakusanyikapo. Kibaya zaidi amiri jeshi mkuu amekaa kimya, amefumba mdomo, macho, pua na masikio yake. Raisi hataki kufungua mdomo wake ili kuwakemea vijana wake, ambao yeye ni mwajiri wao mkuu.
Hataki macho yake yaone maovu na mauaji wayafanyayo vijana wake shupavu wa POLICCM.

Macho yake yamekuwa hayaoni damu inayomwagika. Tv zinaonyesha yeye haoni. Damu za Watanzania zinamwagika, zinatoa harufu kali ya damu, Kikwete pua zake hazinussi. Zimelevywa na harufu ya marashi ya Gucci. Wananchi wanaangamia, yeye kakaa kimya, labda yuko bize na kuomba appointment na masupastaa wa Marekani akapige nao picha..

Kwanini Kikwete hataki kumaliza tatizo hili la wimbi la mauaji yanayo fanywa na Polisi?Au ni yeye ndio anayewatuma?? Nitafurahi sana Kikwete akipandishwa kwenye mahakama ya kimataifa ya The Hague. Kikwete ni mkandamizaji wa demokrasia na ni mkiukaji wa haki za binaadamu.

Kikwete hatakiwi kuishi Magogono, sehemu pekee anapotakiwa kupelekwa akaishi ni kwenye gereza la mateso la Guantanamo Bay Cuba.
 
Bujibuji umenikuna hapa. Hichi kijamaa kinapaswa kikanyee debe Guantanamo. Ukiachia mbali mauaji kiliingia madarakani kwa kuiba pesa yetu kwenye ujambazi wa EPA. Laiti tungewapa upinzani serikali ili Kikwete, Mkapa na Mwinyi washughulikiwe vilivyo ili uwe mfano kwa wengine. Kuna kipindi natamani atokee kichaa mmoja mwenye magwanda awafanyizie na kuwaramba shaba wote kudaadeki.
 
Hakuna mtu napenda mtu auliwe na ni kosa kuua binadam mwenzako katika dini zote. chadema tafteni njia nyingine kuchua nchi si kila siku maamdamano , watz wengi hatuna kazi inapotokea maandamano wengi tunaenda kwa nia tofauti. serikali ina chenga nchi ninyi kila siku kashfa na chuki zimewatawala. dr slaa umeacha dini unakimbilia siasa nafikiri ingekuwa bora ungekuwa unazunguka kutangaza dini ndo kazi yako.
 
Na hawa viongozi wa vyama wanaosababisha vurugu hadi kufikia Polisi kutumia mabovu wao watapona?
 
Hakuna mtu napenda mtu auliwe na ni kosa kuua binadam mwenzako katika dini zote. chadema tafteni njia nyingine kuchua nchi si kila siku maamdamano , watz wengi hatuna kazi inapotokea maandamano wengi tunaenda kwa nia tofauti. serikali ina chenga nchi ninyi kila siku kashfa na chuki zimewatawala. dr slaa umeacha dini unakimbilia siasa nafikiri ingekuwa bora ungekuwa unazunguka kutangaza dini ndo kazi yako.

Yap, nadhani kuna haja ya CDM kutumia njia nyingine za kujipatia umaarufu, kwani kufungua tawi lazima waitishe mikusanyiko ya watu wengi?
 
Bujibuji umenikuna hapa. Hichi kijamaa kinapaswa kikanyee debe Guantanamo. Ukiachia mbali mauaji kiliingia madarakani kwa kuiba pesa yetu kwenye ujambazi wa EPA. Laiti tungewapa upinzani serikali ili Kikwete, Mkapa na Mwinyi washughulikiwe vilivyo ili uwe mfano kwa wengine. Kuna kipindi natamani atokee kichaa mmoja mwenye magwanda awafanyizie na kuwaramba shaba wote kudaadeki.
Hizi vurugu haziwezi kumpeleka mtu the hague, labda kama hatujui maana ya mahakama hiyo, cha msingi tu hawa viongozi wa vyama vya siasa watambue kuwa siasa hizi zinazopelekea hata damu za watu kumwagika siyo nzuri na hata vikiingia madarakani haviwezi kutawala kwa amani.
 
Usi kariri kuwa The Hague hupelekwa ma Rais Pekee, Rejea Congo na Kenya ( wapinzani wachochezi) utagundua milango iko wazi kwa yoyote, usije shangaa Padri jangili wa wake za watu au Makengeza Disco Joker mmilik wa Madanguro akanyea Debe Uholanzi!
 
Wabongo tangia wajue the hague basi imekua ndio mahakama ya tarafa. Mimi naona hata vibaka sasa tuwapeleke huko.
JK atabaki hapo hapo ikulu, ni jamaa zako ndio wataonja magereza, Slaa tulikua tunamuona mzee na atateseka huko jela lakini naona umefika wakati akapumzishwe huko.
 
Ukitema pumba ushangiliwe?!. Kwa nini wewe huendi kueneza dini? Nani ambaye hana mafunzo ya dini? Hakika Dr. amekuwa tishio!.

tishio? awadanganye wengine tunamjua viruri kabla yako, wengine tutajua ccm hawapo 100% rite lakn mambo yame change na mengi wamefanya na still wanaendelea kuendeleza nchi. sasa chadema kila siku lawama yani hakuna zuri la serikali hata 1 mnalosema? zaid ya kukosoa?
nakubali chadema imesaidia kuleta mabadilko but si kila kitu kinachofanywa cha serikali ni kibaya.
 
Wabongo tangia wajue the hague basi imekua ndio mahakama ya tarafa. Mimi naona hata vibaka sasa tuwapeleke huko.
JK atabaki hapo hapo ikulu, ni jamaa zako ndio wataonja magereza, Slaa tulikua tunamuona mzee na atateseka huko jela lakini naona umefika wakati akapumzishwe huko.

mtu mzima huyo mchukulieni tu
 
Usi kariri kuwa The Hague hupelekwa ma Rais Pekee, Rejea Congo na Kenya ( wapinzani wachochezi) utagundua milango iko wazi kwa yoyote, usije shangaa Padri jangili wa wake za watu au Makengeza Disco Joker mmilik wa Madanguro akanyea Debe Uholanzi!

Hivi kuna jangili zaidi ya yule anayenyamazia maovu makubwa kama mauaji ya raia wasio na hatia? Humu jf watu wana ubongo wa kila aina!
 
Back
Top Bottom