Nitafurahi Kikwete akipelekwa mahakamani The Hague

nini maana ya jangili kwanza?

mbona MKAPA aliua watu Zanzibar na alipiga MAbom akina MREMA mpaka mtu akazawadiwa u IGP hamkusema MKAPA apelekwe The HAGUE??? au kwa KIKWETE ndio kosa la Jinai???
 
umenena vyema, tatizo watu wanaongozwa na chuki mpk wanashindwa kuangalia
mambo pande zote, wana base upande mmoja.

hao hawakumbuki ile enzi ya NGUNGURI....NA..NGANGARI...ilikua ni wakati wa Amani???au kipindikile kilikua cha FILAUNI....sasa mnashanga ya MUSSA..????? hacheni Munkali naona munatoka Povu kwa Mdomo ...MBONA hamkuitetea CAF...kipindi kile kama kweli nyinyi ni wapenda hakii na Amani???
 
Kikwete hatakiwi kuishi Magogono, sehemu pekee anapotakiwa kupelekwa akaishi ni kwenye gereza la mateso la Guantanamo Bay Cuba.

keep dreaming mate , hivi damu aliyomwaga mkapa kipindi kile mkawa mnaona poa tu! wasn't that bad ...? JK ni kiongozi mvumilivu sana kwa wapinzani hata jumiya za kimataifa zinafahamu hilo
 


keep dreaming mate , hivi damu aliyomwaga mkapa kipindi kile mkawa mnaona poa tu! wasn't that bad ...? JK ni kiongozi mvumilivu sana kwa wapinzani hata jumiya za kimataifa zinafahamu hilo

[/
ni kweli 100%
 
Kama utashindwa kuelewa kuwa jf ni nini basi jaribu kupingana na mawazo ya mwana cdm,hapo ndipo napatashida ku8jiuliza kweli hawa ni great thinker au non,,.???shida nzito hii yaaan kupoteza maana na lengo thabit!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom