Wakati fulani tuseme na ukweli, wajerumani walitukuta hatuna hata nguo, tunauzwa sokoni kama mbuzi, je hilo jengo la ikulu kajenga nani kama sio wajerumani, reli ya kati kajenga nani kama sio wajerumani.ukweli mazuri ya wajerumani kwa miaka 35 waliyokaa hayawezi kulinganishwa na ya kwetu.
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Profesa Dr.Jakaya Mrisho Kikwete ameishukuru serikali ya Ujerumani kwa kututawala na kutuletea maendeleo wakati wa ukoloni.
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Ikulu jana, Rais Kikwete alimuambia Rais wa Ujerumani kwamba wakati wanatutawala walitufanyia mambo mengi sana mazuri ikiwemo kutujengea jengo la ikulu ambalo tunalitumia hadi sasa.
Rais ameniumbua. Sijui nitaficha wapi uso wangu.
Tangu mwaka 2008 nimekuwa nikiwafundisha wanafunzi wangu Historia nikiwaaminisha kwamba wakoloni hawakuwa na nia njema. Nimekua nikiwaambia wanafunzi wangu kuwa wakoloni walikuwa wakitunyonya, kutukandamiza na kutudhalilisha sana.
Niliwaambia hata elimu waliyoitoa na miundombinu waliyojenga ilikuwa ya kuendeleza unyonyaji.
Niliwaambia wanafunzi wangu kuwa watu waliowapinga ukoloni na kuwapiga vita kama kina Mkwawa, Mangi Meli, Mtemi Isike na Chifu Kimweri ndio mashujaa wetu. Niliwasema vibaya sana wakoloni huku nikitumia vitabu vya kina Walter Rodney kama HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA katika kujenga hoja. Pia nilitumia sehemu ya nukuu za The Dar es salaam School of thought kuaminisha wanafunzi wangu kwamba wakoloni walikuwa watu makatili na wasiotufaa.
Leo rais kaniumbua. Kawaambia Watanzania kuwa Wakoloni walikuwa watu wema sana na waliotuletea maendeleo. Rais akafika mbali zaidi na kukiri bila Ujerumani kututawala tusingekuwa na Ikulu ya Dar es Salaam.
Sasa najiuliza kama wanafunzi wangu wamemsikiliza Rais Kikwete nitakoma maana nitaumbuka. Na kama wamemsikiliza Lazima watamuamini kwa sababu Rais wetu ni Profesa.!!
Kwa heshima ya Malisa Godlisten naomba kushirikisha hii simanzi!
kumbe wajerumani ndio Jesus.sikujuasisi tunawashukuru Wajerumani kutuletea Lutheran church,machame yote ni walutheri,ingekuwa siyo wakoloni inawezekana kilimanjaro yote ile ingekuwa kama Tanga vibaghashia kila kona,Thank you Jesus
lisilo mpinirais kikwete ni jembe sana
sisi tunawashukuru Wajerumani kutuletea Lutheran church,machame yote ni walutheri,ingekuwa siyo wakoloni inawezekana kilimanjaro yote ile ingekuwa kama Tanga vibaghashia kila kona,Thank you Jesus
Kwani thamani ya mali walizochuma zinaendana na maendeleo waliyoyaacha.?
Kwa muono wa jk bado haamini kama Tanzania inaweza kuendelea bila wahisan.
Tulikosea sana kumchagua jk.
Tena licha ya Ikulu, Mjerumani kafanya kweli, reli ya kati mpaka leo.
Barabara karibu zote unazotumia leo ni zile zile za Mjerumani, sanasana tumezipanuwa na kuweka lami.
Nenda Tanga, moja katika miji ambayo imepangika vizuri na hiyo ni toka Mjerumani, si leo.
Ukweli ubaki kuwa ukweli. Natamani tungebaki kutawaliwa na Wajerumani hadi leo hii. Hatuwezi lolote.
Yaani wewe ni mpumbavu wa mwisho kabisa, sa ndo umeandika nini hapa? we kafir ni tubwasha hatari sana hata akili huna
Ndio tumeshindwa kutokana na udhaifu wa selikari yetu,wizi,ufisadi na tamaa za viongozi wetu.Kama tumeshindwa kujenga IKULU yetu huko Chamwino Dodoma, hata baada ya miaka ya 54 ya uhuru, kwanini asiwapongeza Wajerumani walioweza kujenga hiyo Ikulu ya Magogoni zaidi ya miaka 100 iliyopita!
Pia angeendelea kuwasifu Wajerumani, kwani tangu walipotuletea meli ya MV Liemba, Sisi hata baada ya miaka 54 ya Uhuru tumeshindwa kuweka meli ya kiwango hicho ziwa Tanganyika.
Kwani thamani ya mali walizochuma zinaendana na maendeleo waliyoyaacha.?
Kwa muono wa jk bado haamini kama Tanzania inaweza kuendelea bila wahisan.
Tulikosea sana kumchagua jk.
Wakoloni waliwakuta mababu zote juu ya miti......wanaishi maisha ya kinyani pamoja na manyani,
Walitustaarabisha na kutupa elimu angalau tuonekane na sisi watu duniani. Na ndio maana mpaka leo baadhi ya
wazungu wakimuona Muafrika wanamwita nyani, huo ndio ukweli !! Tusibishe wala kukasirika, sisi ni manyani!!
sisi ni manyani!! Sisi ni Manyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani !!
...tabia ya wakwere si watu wapwani,hakuna kitu.....sisi huku Rorya tuliwatimua hao jermani vibaya...babu alikuwa anatusimlia.
Kwa nini CCM wanashindwa kuendesha nchi Kama walivyoiendesha Wajerumani?
Acha uongo, jengo la ikulu ya Dar halikujengwa na Wajerumani, ni Waingereza. Hata ikulu ya Zanzibar walijenga Waingereza. Wakati walikuwa na system ikiitwa BOMA (British Overseas Management and Administration). Ilikuwa baada ya Wajerumani kuondoka