Nitaficha wapi uso wangu? Rais Kikwete ameniumbua

Nitaficha wapi uso wangu? Rais Kikwete ameniumbua

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Profesa Dr.Jakaya Mrisho Kikwete ameishukuru serikali ya Ujerumani kwa kututawala na kutuletea maendeleo wakati wa ukoloni.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Ikulu jana, Rais Kikwete alimuambia Rais wa Ujerumani kwamba wakati wanatutawala walitufanyia mambo mengi sana mazuri ikiwemo kutujengea jengo la ikulu ambalo tunalitumia hadi sasa.

Rais ameniumbua. Sijui nitaficha wapi uso wangu.

Tangu mwaka 2008 nimekuwa nikiwafundisha wanafunzi wangu Historia nikiwaaminisha kwamba wakoloni hawakuwa na nia njema. Nimekua nikiwaambia wanafunzi wangu kuwa wakoloni walikuwa wakitunyonya, kutukandamiza na kutudhalilisha sana.

Niliwaambia hata elimu waliyoitoa na miundombinu waliyojenga ilikuwa ya kuendeleza unyonyaji.

Niliwaambia wanafunzi wangu kuwa watu waliowapinga ukoloni na kuwapiga vita kama kina Mkwawa, Mangi Meli, Mtemi Isike na Chifu Kimweri ndio mashujaa wetu. Niliwasema vibaya sana wakoloni huku nikitumia vitabu vya kina Walter Rodney kama “HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA” katika kujenga hoja. Pia nilitumia sehemu ya nukuu za “The Dar es salaam School of thought” kuaminisha wanafunzi wangu kwamba wakoloni walikuwa watu makatili na wasiotufaa.

Leo rais kaniumbua. Kawaambia Watanzania kuwa Wakoloni walikuwa watu wema sana na waliotuletea maendeleo. Rais akafika mbali zaidi na kukiri bila Ujerumani kututawala tusingekuwa na Ikulu ya Dar es Salaam.

Sasa najiuliza kama wanafunzi wangu wamemsikiliza Rais Kikwete nitakoma maana nitaumbuka. Na kama wamemsikiliza Lazima watamuamini kwa sababu Rais wetu ni Profesa.!!

Kwa heshima ya Malisa Godlisten naomba kushirikisha hii simanzi!

Tanzania chini ya utawala wa mfalme "Juha" 2005-2015.
 
Natamani tungebaki kutawaliwa na Wajerumani hadi leo hii. Hatuwezi lolote.

Leo yamekuwa haya tena?Mbona unatuambia hapa kila siku kama CCM ni chama bora sana?Why hatuwezi lolote wakati tunaongozwa na chama bora CCM?

Muda si mrefu kuanzia sasa mashtaka na mmeo mtakuwa mnayapeleka Mahakamani ya Kadhi!Je haya si maendeleo?
 
  • Thanks
Reactions: Awo
Wakoloni waliwakuta mababu zote juu ya miti......wanaishi maisha ya kinyani pamoja na manyani,

Walitustaarabisha na kutupa elimu angalau tuonekane na sisi watu duniani. Na ndio maana mpaka leo baadhi ya

wazungu wakimuona Muafrika wanamwita nyani, huo ndio ukweli !! Tusibishe wala kukasirika, sisi ni manyani!!

sisi ni manyani!! Sisi ni Manyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani !!

Labda babu yako,bibi yako,baba yako na mama yako ndio manyani ndiyo maana wakakuzaa nyani.
 
sisi tunawashukuru Wajerumani kutuletea Lutheran church,machame yote ni walutheri,ingekuwa siyo wakoloni inawezekana kilimanjaro yote ile ingekuwa kama Tanga vibaghashia kila kona,Thank you Jesus

rosemarie;
Mwanangu uongo si kitu cha maana. Unasema Machame yote ni walutheri?? Hivi unadhani watu wote hawajafika huko kwenu? Ule msikiti pale sokoni tena wenye ghorofa na madirisha ya viyoo ni wa kilutheri? Unajua chuo kikuu cha kwanza cha dini hiyo ya baraghashea kama ulivyosema kiko wapi? Si Modio?
Tulia tu kabla hujakurupuka na kujitangaza kuwa weye ni mlutheri. Ingekuwa hivyo, huyu Rais asingeli acha kuja huko kuona mizizi yao.
 
Duh! umeongea pointi dada hadi raha. Hawa jamaa ni wema sana na wana upendo sana. Kuna wale jamaa walikuja wakatuachia urithi wa dini tu, wakasepa. Leo hii huu urithi wa dini waliotuachia umekuwa ni mwiba kwetu - wametutengenezea watanzania walalamishi balaa! kiu ya ulalamishi imeingizwa kwenye akili zao na hakuna anayeweza kui-quench. Hata uwape chuo kikuu cha bure watazua lingine tu. (...sasa hebu fikiri kidogo chuo hicho wapewe watanzania wa dini nyingine - hilo balaa lake!) Wajerumani wangeendelea kubaki wangeokoa pia akili za wengi sana! si ajabu FF leo angekuwa mtawa pale saint Joseph akiwafundisha watoto wetu thawabu wanazopata kwa kumpenda adui kama kristo alivyotufundisha.

Hilo la dini nyingine sijakuelewa, mimi najuwa dini ya haki ni moja tu Uislam.
 
Faiza nadhani mababu zetu waliotangilia mbele ya haki wangeisikia kauli hii wangekuchuna ngozi,sema wewe na serikali yako ndo hamuwezi lolote hivyo basi wapisheni wanaoweza kazi hapo magogoni msaidiwe maana imeshawashinda!!!!Kwamba unasifia ukoloni kwamba wametujengea barabara na kutupangia mji wa Tanga hii mishahara mnaowalipa TOWN PLANNERS ni za nini???? haya mabilioni mnayoyatafuna hapo BOT yangetosha kujenga barabara ngapi zetu kama watanzania???Unyama uliofanya na kila TOM VON PRINCE na wengineo unausifia,historia tunaijua nashauri mkawadanganye huko vijijini wasiojua historia ya unyama wa wajerumani

BOT kabla Nyerere hajang'atuka "iliwaka" moto pesa zote za kigeni zikaunguwa. Unalijuwa hilo?
 
Hilo la dini nyingine sijakuelewa, mimi najuwa dini ya haki ni moja tu Uislam.
kwa mujibu wa historia walioleta dini ya kiislam hawakuacha maendeleo zaidi ya ulalamishi na ugaidi.hawa wengine kikwete kawapa heko
 
Did he said that!!! Maana huwa sisikilizagi hotuba zake. Alisema kwa ki- english au kwa kiswahili au kijerumani? Nahisi kuna shida hapa. Kwamba anawapongeza wakoloni kwa kututawala na kutuletea maendeleo! Kwa hiyo ndo maana kila siku yuko angani anatutafutia hawa wakoloni warudi kututawala ili watuletee maendeleo zaidi? Kwamba akina Nyerere na wenzake walifanya mapema sana harakati za kutafuta uhuru ili tuweze kujitegemea wenyewe? Kwamba Wa-Tz hatuwezi bila kuwezeshwa na wakoloni?

Nyerere alipokuwa anazungumzia suala la kampuni ya IPTL enzi za uhai wake alinukuliwa akisema
"Kama tumefikia hapa basi ni heri ukoloni urudi"
 
Waarabu hawakuleta utumwa, walikuja kununuwa watumwa, babu zako wale waliokuwa kidogo wajanja, walikuwa wanawakamata babu zako wale waliokuwa dhaifu na wanawauza kwa vioo na shanga, kumbuka hilo.
FaizaFoxy unataka kuniambia biashara iliyokuwa inafanywa na waarabu ya kununua watumwa ilikuwa ni halali???

Walifanya ile biashara katika hali ya ukatili uliopitiliza huku wakija kwa mgongo wa kusambaza dini!

Waarab ni watu katili sana hakuna mfano.
 
Last edited by a moderator:
huu ni upotoshaji mkubwa,,,,,,,,wengi tulisikiliza hotuba ya rais hakuyasema haya

Sio kosa lako!
attachment.php
 
Attachments

  • Uhuru.jpg
    Uhuru.jpg
    51.2 KB · Views: 305
Mwafrika mweusi bado ana matatizo, hajitambui, huo ndiyo ukweli.Kwa vile Prof JK ametokana na sisi basi hiyo ni aibu yetu sote kama watanzania weusi na waafrika wengine weusi!

hili suala hailihitaji profesa ,daktari wa falsfa wa raisi wa nchi kulijua bali ukoloni wowote uwe mkongwe uwe mamboleo haukuwa mzuri ,ndo maana jamii ya wapenda haki za binadamu na maendeleo hawezi kusifia ukoloni wowote.
Dhana na ukoloni ni kuondoa haki,kuondoa mamlaka,,kuchukua rasilimali,na hivyo kufifisha maendelo ya nchi inayotawaliwa
huwezi kusifia hayo kwasababu hata kama nchi zetu hazijakuwa na teknolojia kubwa ,ili kuondooewa mamlaka huwezi kupata maamuzi ya kuoata teknolojia kwa maendeleo ya watu wako.
pia kuondoa raslimali kama kodi na rasilimali nying>_<¦¦¦-_-///
 
FaizaFoxy unataka kuniambia biashara iliyokuwa inafanywa na waarabu ya kununua watumwa ilikuwa ni halali???

Walifanya ile biashara katika hali ya ukatili uliopitiliza huku wakija kwa mgongo wa kusambaza dini!

Waarab ni watu katili sana hakuna mfano.

Naam hata kwenye biblia ipo.

Unasema "ilikuwa" kama vile sasa hakuna biashara ya utumwa. Unashangaza!
 
Mwafrika mweusi bado ana matatizo, hajitambui, huo ndiyo ukweli.Kwa vile Prof JK ametokana na sisi basi hiyo ni aibu yetu sote kama watanzania weusi na waafrika wengine weusi!

hili suala hailihitaji profesa ,daktari wa falsfa wa raisi wa nchi kulijua bali ukoloni wowote uwe mkongwe uwe mamboleo haukuwa mzuri ,ndo maana jamii ya wapenda haki za binadamu na maendeleo hawezi kusifia ukoloni wowote.
Dhana na ukoloni ni kuondoa haki,kuondoa mamlaka,,kuchukua rasilimali,na hivyo kufifisha maendelo ya nchi inayotawaliwa
huwezi kusifia hayo kwasababu hata kama nchi zetu hazijakuwa na teknolojia kubwa ,ili kuondooewa mamlaka huwezi kupata maamuzi ya kuoata teknolojia kwa maendeleo ya watu wako.
pia kuondoa raslimali kama kodi na rasilimali nyingine,ni kuuua uchumi wa nchi hiyo kiuchumi,kijamii,kifedha .na maendeleo yote kufa.
Huyu raisalaumiwe kwa akili yake finyu na akili ya watanzania wote ,mkoloni ni mbaya na ukoloni haufai lazima upigwe vita.
Huyo Profesa asiyejua haya neo chanzo cha kuwa serikali ina onbwe la utawala.
ni yeye mwenyewe ndo maana kodi iliyokuwemo kwenye akaunti ya escrow ,alitamka waziwazi kuwa haikuwa pesa ya umma bali ya IPTL ndo maana hata ccm walimuunga mkono na waislam kupitia shekhe mkuu wa mkoa DSM naye alimuunga mkono na kumsifia.
naungana na mnyika mbunge wa ubungo kusema tuna rais ehaifu sana.haya ndo matokeo yake.
 
Naam hata kwenye biblia ipo.

Unasema "ilikuwa" kama vile sasa hakuna biashara ya utumwa. Unashangaza!

Bado ipo sana, ndio maana Kenya wamepiga marufuku wanawake kwenda kufanya kazi za ndani Uarabuni kutokana na mateso wanayopata huko.

FaizaFoxy nakuambia waarabu ni watu katili kupindukia..
 
Last edited by a moderator:
Hilo la dini nyingine sijakuelewa, mimi najuwa dini ya haki ni moja tu Uislam.

Nilikuwa namaanisha ile dini ya jamaa waliopewa chuo kikuu bure na sasa wamelianzisha lingine. Nasikia wameweka kambi Bungeni Dodoma. Hivi sio waarabu waliotuharibia akili za hawa ndugu zetu, kama walivyoharibu za ndugu zetu wa Sudani na Somalia? Yatupasa kumshukuru sana Mungu waarabu hawakuendelea kututawala maana sijui tungeepukaje mabalaa ya kuwa kama Somalia. Nikikumbuka jina la hiyo dini ntakujulisha dada.
 
  • Thanks
Reactions: Awo
Bado ipo sana, ndio maana Kenya wamepiga marufuku wanawake kwenda kufanya kazi za ndani Uarabuni kutokana na mateso wanayopata huko.

FaizaFoxy nakuambia waarabu ni watu katili kupindukia..

Kama wangekuwa wanasikiliza maoni yetu basi maoni yetu kwenye katiba tuliyotaka tungependekeza pia kipengele cha kuruhusu ukoloni urudi wazi wazi kuliko kuendelea kutawaliwa kifikra namna hii!
 
Nilikuwa namaanisha ile dini ya jamaa waliopewa chuo kikuu bure na sasa wamelianzisha lingine. Nasikia wameweka kambi Bungeni Dodoma. Hivi sio waarabu waliotuharibia akili za hawa ndugu zetu, kama walivyoharibu za ndugu zetu wa Sudani na Somalia? Yatupasa kumshukuru sana Mungu waarabu hawakuendelea kututawala maana sijui tungeepukaje mabalaa ya kuwa kama Somalia. Nikikumbuka jina la hiyo dini ntakujulisha dada.

Kwa mwana mwema yeyote anayetumia sehemu kidogo ya akili yake kufikiri atatambua tu kwamba dini ilikuwapo kabla hata ya ukoloni,tofauti ni kwamba hii dini iliyoletwa na wenzetu imepewa ustaarabu kupitiliza hadi walioingiwa na ustaarabu huu wakiacha dini zao za asili...

Ni kosa kudhani dini yako(ya sasa) ni bora kuliko ya mwenzio badala yake tutumie miundombinu elimu tuliyorithi kwa wakoloni kujinufaisha sisi badala ya kuendelea kuwa vibaraka wa weupe!
 
Back
Top Bottom