Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,510
- 9,349
bahati nzuri tumestuka...na uzuri uwongo wake unakosolewa kihisabati hisabati.Hahah tulikua tunapewa 'chai' kiaina maana 220km/h labda kama huyu mwana ana 'autobahn' yake hapa bongo.
bahati nzuri tumestuka...na uzuri uwongo wake unakosolewa kihisabati hisabati.Hahah tulikua tunapewa 'chai' kiaina maana 220km/h labda kama huyu mwana ana 'autobahn' yake hapa bongo.
Kuanzia mil 15 na kuendelea lakini ukiagiza kutoka Japani inaweza kufika hadi mil 30Bei zake zinaendaje?
Nimefuata alichosema huyo hapo juu.are you serious??
Unatudanganya...
Umbali wa Arusha to Dar ni wastani wa km 640 kupitia bagamoyo...chalinze ni 670 kama sikosei...
Chukua km 670 gawanya kwa masaa 3 uliyosema...
nadhani jibu ni 223.333...
Hii inamaana kwamba ili dereva atumie masaa 3 safari ya Dar to Arusha ni lazima dereva huyo aendeshe mwendo wa 223kph bila kusimama popote wala bila kupunguza mwendo.
Hata msafara wa raisi hauendi mwendo huo.
Kwa matuta yaliyopo, tochi, kusimama kuchimba dawa na kula, milima, kona na kuzingatia usalama wako na watu wengine wanaotumia barabara, Arusha to Dar masaa 7 mpaka 8 ni reasonable kabisaa.
Usiku masaa 5 mpaka 6
SIO MWAYA-MAHENGE MKUU KWENYE ULE MLIMA MOJA HATARI SANA NIMESAHAU JINA LAKEMkuu hii inabidi uipeleke njia za Nyandira milimani,Lupilo-Malinyi,Mpanda -Kigoma na msimu huu wa mvua unapita kibabe.
Haaaaaaaaaaaa daah mkuu umenifurahisha Sana.....Nyandila,mgeta, Luale, huko Ni shidaaaaaaaaaMkuu hii inabidi uipeleke njia za Nyandira milimani,Lupilo-Malinyi,Mpanda -Kigoma na msimu huu wa mvua unapita kibabe.
Ndio,, tupe mambo ya subaru sasaNimewafuatilia sana lakini nadhani hamlijui tifu la Subaru kwenye rough road
Aiseee,, Nikajua ni chuma mpya ya sasa uliyonayo,, that's y nikajua unakuja kushare experience nasi wenye baskeliUkitaka mambo ya Subaru kuna wazee wamebobea kwenye masubaru
Kna garage moja Inaitwa 0260
Ova
Mmh! Kwani zimeanza kugawawia bure huko kwenu??Nissan hata bure sitakiii
Boss gari imechoka hiyo.
Niume sikio ni wapi utapata kwa bei hizoBei zake haitishi ukiwa na 8 au 9 unapataa kali tu
Ova
Kelele tu hamna mwendo humoUsifate moto huu
Safari inazoenda Usifate
Ova
Subaru gani hio? Impreza,Legacy,Forester?Nimewafuatilia sana lakini nadhani hamlijui tifu la Subaru kwenye rough road
Masaa 7 kufika arusha?
Hata mke wangu ambaye ni lena anafika kabla ya huo muda.
Huo muda ni wa kufika mbeya au mwanza.
Nilitegemea uniambie masaa 3 au 4.
Arusha karibu sana.