Nissan patrol(black panther)


Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
45,688
Points
2,000
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
45,688 2,000
are you serious??
Unatudanganya...

Umbali wa Arusha to Dar ni wastani wa km 640 kupitia bagamoyo...chalinze ni 670 kama sikosei...
Chukua km 670 gawanya kwa masaa 3 uliyosema...
nadhani jibu ni 223.333...
Hii inamaana kwamba ili dereva atumie masaa 3 safari ya Dar to Arusha ni lazima dereva huyo aendeshe mwendo wa 223kph bila kusimama popote wala bila kupunguza mwendo.
Hata msafara wa raisi hauendi mwendo huo.

Kwa matuta yaliyopo, tochi, kusimama kuchimba dawa na kula, milima, kona na kuzingatia usalama wako na watu wengine wanaotumia barabara, Arusha to Dar masaa 7 mpaka 8 ni reasonable kabisaa.
Usiku masaa 5 mpaka 6
Nimefuata alichosema huyo hapo juu.
 
Thelionden

Thelionden

Member
Joined
Apr 7, 2018
Messages
93
Points
125
Thelionden

Thelionden

Member
Joined Apr 7, 2018
93 125
Nimewafuatilia sana lakini nadhani hamlijui tifu la Subaru kwenye rough road
 
Charles Dotter

Charles Dotter

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Messages
1,815
Points
2,000
Charles Dotter

Charles Dotter

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2015
1,815 2,000
Mkuu hii inabidi uipeleke njia za Nyandira milimani,Lupilo-Malinyi,Mpanda -Kigoma na msimu huu wa mvua unapita kibabe.
SIO MWAYA-MAHENGE MKUU KWENYE ULE MLIMA MOJA HATARI SANA NIMESAHAU JINA LAKE
 
Pax Vobiscum

Pax Vobiscum

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Messages
262
Points
500
Pax Vobiscum

Pax Vobiscum

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2018
262 500
Mkuu hii inabidi uipeleke njia za Nyandira milimani,Lupilo-Malinyi,Mpanda -Kigoma na msimu huu wa mvua unapita kibabe.
Haaaaaaaaaaaa daah mkuu umenifurahisha Sana.....Nyandila,mgeta, Luale, huko Ni shidaaaaaaaaa
 
clarence mitega jr

clarence mitega jr

Member
Joined
Aug 24, 2017
Messages
43
Points
95
clarence mitega jr

clarence mitega jr

Member
Joined Aug 24, 2017
43 95
Ukitaka mambo ya Subaru kuna wazee wamebobea kwenye masubaru
Kna garage moja Inaitwa 0260

Ova
Aiseee,, Nikajua ni chuma mpya ya sasa uliyonayo,, that's y nikajua unakuja kushare experience nasi wenye baskeli

Ova
 
HesabuKali

HesabuKali

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Messages
1,935
Points
2,000
HesabuKali

HesabuKali

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2016
1,935 2,000
Utani huu, masaa 3 labda chopa ila sio gari kwa barabara hizi.
Unaweza vip kukimbia 180 kwa matuta yote hayo njian na vizuizi vya trafik?
Masaa 7 kufika arusha?

Hata mke wangu ambaye ni lena anafika kabla ya huo muda.

Huo muda ni wa kufika mbeya au mwanza.

Nilitegemea uniambie masaa 3 au 4.

Arusha karibu sana.
 

Forum statistics

Threads 1,296,038
Members 498,510
Posts 31,232,251
Top