Nissan patrol(black panther)

Fata moto
Njia inayopita vw yko isudhubutu

Ova
Ukipata huu mnyama, ni noma ukiwa nao high way...
Tulitoka Ubungo mida ya saa sita kwenda Arusha, wenzangu walitangulia na huu mnyama, mie nilikuwa na mwingine kwa nyuma.
Basi wao wakawa hawajanielewa uwezo wangu wanaenda taratibu taratibu. Mie nikawa nawaambie ngoja tufike Chalinze niwaoneshe maujuzi.
Basi tulipovuka mzani pale Chalinze hawakuamini walichokiona. Mara mia arobaini, mara mia hamsini... Duh, yani tulitumia kama masaa saba-nane hivi kufika Arusha... Hii chombo ni balaa sana ukiwa highway...

1096423
 
Mi nilikua nayachukulia poa sana haya madude kuna moja lilikua la NGo flani walitaka kuniuzia kwa milioni 17 nikachomoa yalikua haya new model kama ya usalama nikajua litanizingua manake safari zangu za mbwinde huwa nataka gari ya kazi
Ulikosea sana hizi gari naziheshimu sana kwakweli naitumia na haijawahi kuniangusha siku ukiipata tena mkuu kamata usiiachie huwezi juta.
 
Mi nilikua nayachukulia poa sana haya madude kuna moja lilikua la NGo flani walitaka kuniuzia kwa milioni 17 nikachomoa yalikua haya new model kama ya usalama nikajua litanizingua manake safari zangu za mbwinde huwa nataka gari ya kazi
Duuh! Kwanini hukuchukua?
 
Ukipata huu mnyama, ni noma ukiwa nao high way...
Tulitoka Ubungo mida ya saa sita kwenda Arusha, wenzangu walitangulia na huu mnyama, mie nilikuwa na mwingine kwa nyuma.
Basi wao wakawa hawajanielewa uwezo wangu wanaenda taratibu taratibu. Mie nikawa nawaambie ngoja tufike Chalinze niwaoneshe maujuzi.
Basi tulipovuka mzani pale Chalinze hawakuamini walichokiona. Mara mia arobaini, mara mia hamsini... Duh, yani tulitumia kama masaa saba-nane hivi kufika Arusha... Hii chombo ni balaa sana ukiwa highway...

View attachment 1096423

Nissan hardbody naziheshimu. Hizi naweka class moja na Toyota Hilux D4D
 
Similar Discussions

16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom