Nissan patrol(black panther)

dah sie wengine wapenzi wa subaru tumeshakuwa machizi juzi nmetoka nayo moro kwenye saa 7 usiku mpka 9;30 nipi nyumbani,mzee alinipa risala zote basi toka juzi nmeipaki nyumbani napanda dala dala maana mzee nilimpigia simu nakuja ndo nmetoka akajua ntafika saa 1 kustuka napiga honi nje kilichofata ni kilioView attachment 1414308

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa usiku naweza kupiga 2hrs flat
 
Ulitokea Moro kwenda wapi mkuu..?
Na hiyo saa 7 ...(ni saa saba kiswahili au saa moja..?)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nice challenge..
Lakini mwisho wa siku vijana tukumbushane mwendo kasi ni sababu moja wapo ya sababu kuu zinazotupeleka kaburini mapema..

they say, if you drive below 100 kph, you are more likely to survive on car accident than driving above 100 kph..

Turudi kwenye mada sasa..
Binafsi nissan patrol nazipenda sana regardless speed
Jeremy wa Top Gear anakwambia:

'Speed has never killed anyone. Suddenly becoming stationary, that's what gets you.'
 
duu mpok huwa anasema kwel duu tutafute pesa uo mzigo ukipiga onii unaauangalia kwenye mirror ivi unaona aibu na ist yako unapisha tu😢
 
Kuna Machimbo ya Nissan
Yawezekana yako ilikuwa imenyooka zaidi ndomana

Ova
Tutafutane mkuu, nishauza y61, kila nikifikiria kubadili nafsi hainipi, kuna jamaa kanitembezea y61 taa ndefu (body imechoka na ndani kumechoka) bei chee kidogo, ila uchawi ni petroli na gearbox ni automatic ndio kanikata maini.
 
Nipo na nissan patrol y61 hiki chombo ni nyoko, ni chombo ya kazi..
Yote 9 inaunguruma kiume saana, huwa najikuta naiacha iungurume niisikilizie..

Sasa hivi vyuma vimekaza natamani niiweke sokoni lakini nafsi inanigomea.

Niko njia panda.
Nilikua natafuta LC ila nimebadili mawazo.
Nissan Y61 TD42 is my favorite
 
Napenda gari za Nissan zenye engine ya Diesel. Injini ina mungurumo mzito hadi raha. Ila haifai kwenda kuchukulia mtoto wa geti. Maana ukifika mahali, kila mtu anajua. Napenda zaidi injini za Nissan Civilian. Zile injini zina mungurumo mtamu balaa!
Civilian na patrol nyingi ni td42 hasa 6cly
 
Popote Unapita na unafika
Kuna mtu ana prado yke kna njia moja tuliongazna naye mpk unamuonea huruma
Ilibidi ageuze kashindwa endelea

Ova
Haziko class moja nissan p td42 mpinzani wake ni toyota lc 1hz japo kwenye mwendo Prado haikamatiki na hao labda yenye injini ya 5L.
 
Napenda gari za Nissan zenye engine ya Diesel. Injini ina mungurumo mzito hadi raha. Ila haifai kwenda kuchukulia mtoto wa geti. Maana ukifika mahali, kila mtu anajua. Napenda zaidi injini za Nissan Civilian. Zile injini zina mungurumo mtamu balaa!
Ila wakisimama na coaster 1hz na civilian td42 coaster anakuwa mbabe kwa kila kitu.
 
Napenda gari za Nissan zenye engine ya Diesel. Injini ina mungurumo mzito hadi raha. Ila haifai kwenda kuchukulia mtoto wa geti. Maana ukifika mahali, kila mtu anajua. Napenda zaidi injini za Nissan Civilian. Zile injini zina mungurumo mtamu balaa!
Huwezi sema Patrol ina makele Civilian haina kelele

Nissan Civilian na Nissan Patrol na Nissan Safari zina engine moja

TD42
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom