nisifieni basi......

Hebu niitieni Bishanga. Erickb52 na Kaizer waje huku tujadili ukaguzi. Siasa wataiwezea wapi?

attachment.php

Wanakuja !
 
Hahahaaaaa...
Hongera sana mwaya
though umewaponda madr
huu haukuwa wakati wake
ungetafuta muda muafaka wa kusema. Kwasasa tulikuwa tunataka serikali iwaangalie.
 
hongera sana bepari
la kihaya byshenger.....

Umethubutu, umeweza, unazidi kusonga mbele kwa ari zaidi na kasi zaidi.......

Bishanga na mimi leo nimejifaragua nikafungua uzi jukwaa la siasa title.........'watanzania wenzangu '.....nimejikakamua kweli nyie acheni tu.
 
Hahahaaaaa...
Hongera sana mwaya
though umewaponda madr
huu haukuwa wakati wake
ungetafuta muda muafaka wa kusema. Kwasasa tulikuwa tunataka serikali iwaangalie.
Kweli Remmy,lakini ndo hivo ulishakoroga zege hairudi kuwa sementi.
Za jumapili Remmy?
 
Last edited by a moderator:
hongera sana bepari
la kihaya byshenger.....

Umethubutu, umeweza, unazidi kusonga mbele kwa ari zaidi na kasi zaidi.......
Nimebondwa huko naambiwa na SIMplicity eti niwapishe niende mmu jukwaa la ngono,nimechoka kabisa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom