Bishanga JF-Expert Member Jun 29, 2008 15,323 10,050 Jul 15, 2012 Thread starter #41 Remmy said: Sijambo kidogo, najisikia ka homa. Click to expand... pole dear,Mungu atakupa nguvu.
Remmy JF-Expert Member Jun 9, 2009 4,701 1,799 Jul 15, 2012 #42 Bishanga said: pole dear,Mungu atakupa nguvu. Click to expand... Asante sana shemeji yangu!
Catherine JF-Expert Member Jun 30, 2012 1,261 758 Jul 15, 2012 #43 Hahahahaha! Kwikwikwikwi! Ngoja nikasome hizo pumba zako Bishanga. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
sister JF-Expert Member Nov 23, 2011 9,014 6,846 Jul 16, 2012 #44 Bishanga said: Nimebondwa huko naambiwa na SIMplicity eti niwapishe niende mmu jukwaa la ngono,nimechoka kabisa. Click to expand... pole sana kule inabidi uende na board guard na uwe umefanya mazoezi ya nguvu.
Bishanga said: Nimebondwa huko naambiwa na SIMplicity eti niwapishe niende mmu jukwaa la ngono,nimechoka kabisa. Click to expand... pole sana kule inabidi uende na board guard na uwe umefanya mazoezi ya nguvu.
Bishanga JF-Expert Member Jun 29, 2008 15,323 10,050 Jul 16, 2012 Thread starter #45 Catherine said: Hahahahaha! Kwikwikwikwi! Ngoja nikasome hizo pumba zako Bishanga. Click to expand... mbona hujaenda,kumbe na wewe unapaogopa? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Catherine said: Hahahahaha! Kwikwikwikwi! Ngoja nikasome hizo pumba zako Bishanga. Click to expand... mbona hujaenda,kumbe na wewe unapaogopa?
Bishanga JF-Expert Member Jun 29, 2008 15,323 10,050 Jul 16, 2012 Thread starter #46 sister said: pole sana kule inabidi uende na board guard na uwe umefanya mazoezi ya nguvu. Click to expand... ngoja nimtafute Boflo anisindikize akimaliza operation ya kurefusha niniliyu yake. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
sister said: pole sana kule inabidi uende na board guard na uwe umefanya mazoezi ya nguvu. Click to expand... ngoja nimtafute Boflo anisindikize akimaliza operation ya kurefusha niniliyu yake.