Nishumu nishumu nishumu mwaaaaa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nishumu nishumu nishumu mwaaaaa!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, May 24, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,351
  Likes Received: 5,653
  Trophy Points: 280
  Hii ni pongezi na hongera kwa mama mkwe na babamkwe wako aliekuzalia mkeo na kumleta duniani huku ukiwa umepita majaribu mengi ya dunia na mwisho ujanja wote kuishia kwa mwanae.....nawapongeza wakwe wotee waliotuletea mamaJF"S mungu azidi kuwazidiishia kwa wale wanaoendelea na uzao mungu awaongezee wa kike mmaradufu na wote tuseme


  AMINA
   
 2. d

  damn JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  PDIDY vipi, are you about to commit suicide?????
   
 3. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  BiG UPPPPPPPPPPPPPPPP sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

  Hongereni sana wake zetu! :hug:

  Mliopo hapa pia mtapokea kwa niaba ya walioko hukoooooooo na majumbani!
   
 4. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2010
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Amina!!!!!!!!

  Pdidy weekend ilikuuaajee???, Mbona naona umficha mambo?, wana JF atobe au asitoboeeeeeeeee!!!!!!!!!!!
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,351
  Likes Received: 5,653
  Trophy Points: 280
  Asitoboe jf imevamiwa na watoto mpaka kwa wakubwa mi mtoto wa mjomba juzi ananiita nikiwa kwao uncle nafika nakuta jf kwa wakubwa angalia hii nini hiii nini aiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ujui...nkamwambia na sitojua koma tena ....mmhh ukitoboa vingine twende kimafumbo mpaka...sunami
   
 6. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Ni WAKWE Masiki Jeuri
   
Loading...