Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,848
- 2,741
Si wanasema eti tabia ni kama ngozi, huyu ataweza kuibadili kweli?nakushauri uache hiyo tabia
Si wanasema eti tabia ni kama ngozi, huyu ataweza kuibadili kweli?nakushauri uache hiyo tabia
Pengine wewe mkuu ndo una analysis nzuri kuliko wote.binadamu wengi jinsi walivyo wakizidisha sana uwezo wa kitu fulani basi anatengeneza upungufu mkubwa upande mwingine,kuwa kwako mahiri sana ktk kuwapata wadada upande wa pili uwezo wako wa kuwa-maintain utakuwa chini sana.....n hilo utakuja kuliona ukianza serious relationship mpaka ndoa.....YOU WILL BE THE BORING KING IN YOUR MARRIAGE......thats the rule....80/20!
Si wanasema eti tabia ni kama ngozi, huyu ataweza kuibadili kweli?
Mkuu Maso, hilo sio tatizo, hizo ni nguvu zilizo ndani yako zinaitwa "psychic powers", nenda kanisome hapa, [h=3]sychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...[/h]Nina tatizo ambalo ni peculiar!
Tatizo ambalo kwa kweli silipendi na huwa lina nisononesha!
Nina uwezo wa kutongoza kila mwanamke mzuri nineye mtongoza hata tusishia sita kwa sita.
Nasema baada ya hapo huwa nasononeka sana na naishia kujihurumia.
Unanishaurije.
mimi nina
Telepathy - Transfer of thoughts or emotions, kwa kiasi kidogo!. Zamani nikiwa kijana mdogo nikisoma sekendari ya Tambaza na baadae Ilboru, ilitokea kuna vibinti fulani vya Kisutu na Jangwani, nilivitazama kwa kuvihitaji tuu, nikaja kuvipata!.
Ikawa nikienda kwenye party, nikimzimikia tuu binti, nikimtazama kwa concentration huku nikisema kimoyo moyo, nakuhitaji!, yule binti, atageuka na macho yakigona tuu, nitatoka nje, atanifuata!, tutazunguka tuu mahali popote penye faragha!, nitamaliza shida zangu na kurudi kwenye party!.
Nilipomaliza na kujiunga JKT, kule ikawa balaa!, kila macho yanapoona, moyo ukipenda, napita na sikosi!.
Nilipoanza kazi, nikajikuwa huwa nakuwa MC, nikawa nikienda kwenye sherehe mbalimbali, naondoka na mtu!. Hata nikiwa kwenye Daladala, nikizimika mahali, natazama tuu, nikishuka naye anashuka!.
Matumizi ya nguvu hizi yalikuwa ni kwa "kata funua tuu!, mpaka nilipokutana na dada mmoja aliyekuakisoma Jangwani, ndipo akanieleza kuhusu uwezo huo, na ninachokifanya ni abuse of power! akanionya nikiendelea hivyo matokeo yake yatakuwa nini, ndipo nikabadilika!.
Pasco.
Mkuu Maso, hilo sio tatizo, hizo ni nguvu zilizo ndani yako zinaitwa "psychic powers", nenda kanisome hapa, [h=3]sychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...[/h]
Hebu nitazame mimi mwenzio enzi hizo..
Hivyo matumizi ya nguvu hizi kwa kutongozea tuu ni abuse of powers, shift concentration, zitumie kufanyia mambo makubwa zaidi!, wish kupata kazi nzuri, kulipwa top salary, kujenga bonge la nyumba, kuoa bonge la demu, kuendesha bonge la gari, kuishi top life!, kufanya mambo makubwa kusaidia jamii etc!.
Pasco.[/COLOR]
Nina tatizo ambalo ni peculiar!
Tatizo ambalo kwa kweli silipendi na huwa lina nisononesha!
Nina uwezo wa utani mwingi na ucheshi, na vile vile naweza kutongoza bila hata ya kudhamiria.
Pochi kwangiu si shida sana, lakini kinacho nishangaza ni kuwa kila mwanamke mzuri nineye mtongoza hata kwa utani anachangamka sana na tusishia sita kwa sita.