Nishaurini jamani, nikitongoza sikosi!

Nishaurini jamani, nikitongoza sikosi!

Status
Not open for further replies.
nimekuuliza swali wewe una mpenzi kati ya hao ambae una malengo nae!!!!!!!!!!!

sasa hato ya however n nini sijui yametoka wapi
Ooooh sikuelewa swali lako
Yes yupo mmoja nina mapenzi naye ,tena ya dhati.
Ila siruhusiwi kumwoa-wajua tena dini yetu si kama ya wenzetu.
 
pore sana mkuuuu tembea na bablish ukitaka kutongoza tafuna au uwe na karanga mfukoni ukiona unataka kutongoza tafuna kunywa na maji
 
Nina tatizo ambalo ni peculiar!
Tatizo ambalo kwa kweli silipendi na huwa lina nisononesha!

Nina uwezo wa utani mwingi na ucheshi, na vile vile naweza kutongoza bila hata ya kudhamiria.
Pochi kwangiu si shida sana, lakini kinacho nishangaza ni kuwa kila mwanamke mzuri nineye mtongoza hata kwa utani anachangamka sana na tusishia sita kwa sita.

Nasema baada ya hapo huwa nasononeka sana na naishia kujihurumia.
Unanishaurije.

Hiyo ni dalili ya kwamba wewe una akili za chini ya wastani, yaani IQ ~ 80! Wastani wa
kawaida ni kuanzia 90-100 mimi ni 128!

Watu wengi wenye uwezo mdogo wa kiakili kama huo huwa wana tabia ya kuongeaongea sana na mara nyingi huwa wana shamiri sana katika mambo kama hayo ya kupata wanawake wengi au kukubalika na wanawake wengi wazuri kwa maana huwa wanaongea mambo yasiyo na maana kama kuchekesha chekesha na hivyo kuvutia wanawake walio wengi!

Hiyo ni dalili ya kwamba wewe una akili za chini ya wastani, yaani IQ ~ 80!Wastani wa
kawaida ni kuanzia 90-100 mimi ni 128!

Watu wengi wenye uwezo mdogo wa kiakili kama huo huwa wana tabia ya kuongeaongea sana na mara nyingi huwa wana shamiri sana katika mambo kama hayo ya kupata wanawake wengi au kukubalika na wanawake wengi wazuri kwa maana huwa wanaongea mambo yasiyo na maana kama kuchekesha chekesha na hivyo kuvutia wanawake walio wengi!

Mkuu you may be right!!!

Habu angalia wanaokuzunguka, ni watu kama mimi, watu wenye low IQs
Lakini hebu watazame vizuri, utagundua kuwa wana fweza ya kukuzidi wewe na wengine wa aina yako, na hii ni kwa vile wana rely on good and tested common sense.

I bet, youve never tasted money worth an integer with seven digits, lawfully earned have you?
Sasa endelea kukamata chaki, ili uendeshe maisha yako, thats where high IQs always end up.
 
Miongoni mwa wenye matatizo ya akili na ww ni mmojawao, uahitaji matibabu.
 
Nina tatizo ambalo ni peculiar!
Tatizo ambalo kwa kweli silipendi na huwa lina nisononesha!

Nina uwezo wa utani mwingi na ucheshi, na vile vile naweza kutongoza bila hata ya kudhamiria.
Pochi kwangiu si shida sana, lakini kinacho nishangaza ni kuwa kila mwanamke mzuri nineye mtongoza hata kwa utani anachangamka sana na tusishia sita kwa sita.

Nasema baada ya hapo huwa nasononeka sana na naishia kujihurumia.
Unanishaurije.

sasa tukushauri au tukupongeze kwa mafanikio unayopata maana ukitongoza unakua unamwaga mihela ukiomba mtoto afike sita kwa sita na we kila mtoto unafika nae sita sita hongera sana mkuu wenzio wanankataliwa mpaka na malaya wauza uchi we unakubaliwa na kila mwananmke hilo ni jambo la kujivunia sana hongera sana mkuu.
 
Mkuu you may be right!!!

Habu angalia wanaokuzunguka, ni watu kama mimi, watu wenye low IQs
Lakini hebu watazame vizuri, utagundua kuwa wana fweza ya kukuzidi wewe na wengine wa aina yako, na hii ni kwa vile wana rely on good and tested common sense.

I bet, youve never tasted money worth an integer with seven digits, lawfully earned have you?
Sasa endelea kukamata chaki, ili uendeshe maisha yako, thats where high IQs always end up.

Mimi kwangu hela sio ishu kihivyo nimeridhika, naishi Upanga kwenye nyumba ya msajili ambayo ni kwangu, kila mahali ninaweza kwenda kwa miguu kama nikitaka hata kwenye harusi zenu za ma-low IQs diamond huwa natembea tu, kariakoo natembea nikitaka, baharini kupunga upepo kwa miguu tu, huduma zote za kibenki na kiserikali nakwenda kwa miguu tuu sijui foleni, na hapo hapo kama mchango wangu najitolea kuwafundisha watoto washule za sekondari wanaotoka familia masikini, Hisabati na Fizikia bila kipato chochote na furaha yangu ni pale matokeo yanapotoka nakuona wamefaulu sana hasa ukichukulia wengine walikuja kwangu wakiwa wana ufahamu mdogo sana wa Fizikia na Hisabati, hivyo nina maisha mazuri sana tu!

Isitoshe ningetaka utajiri nimeshafwatwa na watu wanataka wanipe mpaka milioni 600 niwaachie nyumba ya Msajili Upanga nimekataa, hivyo pesa sio kila kitu!
 
Mkuu kijakazi wa II sasa naona umenielewa, wewe bado mtu wa matatizo sema tatizo lako la kipato ni tofauti kabisa na la kwangu.

IQ si pesa, ila tupo hapa kufaidika na IQ yako wakati wewe ukiendelea kuishi kwa maisha sana sana ya kubangaiza kama watu wengine.

Tujikite kwenye mada, at least mimi nafahamu tatizo langu, kuna wanaokebehi, wanaotukana , wanaosaidia mawazo lakini maisha yasonga mbele.

I have a problem.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom