Nishaurini jamani, nikitongoza sikosi!

Nishaurini jamani, nikitongoza sikosi!

Status
Not open for further replies.
Utakuwa unatongoza wa level yako yani maji mara moja kwa hiyo usione ajabu na hayo mafanikio yako.
 
Utakuwa unatongoza wa level yako yani maji mara moja kwa hiyo usione ajabu na hayo mafanikio yako.
Katika masuala haya hakuna levels mama.
Si umesikia kijana wa miaka 26 kaoa mbunge wa miaka 60?
Si umesikia katibu mkuu fulani (mwanamke) aliyekuwa na nyumba ndogo dereva kawke?
Ya Mswati sina haja ya kuyaongea, maana kila mtu anayajua.

Haya mambo hayana formula.
 
Level haina maana kimaisha tu hata tabia yaweza kuwa moja nadhani ni wa tabia yako
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom