NISHAURI; Nianze na gari ipi wakuu?

NISHAURI; Nianze na gari ipi wakuu?

Bingili

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
317
Reaction score
814
Hii itakua gari yangu ya kwanza kumili ni mgeni kwenye hii màneno. Nataka kuagiza Japan.

BAJETI
Isizidi 35M

MATUMIZI
Kwenda kazini na misele ya town Dodoma mjini pamoja na likizo kwenda Mwanza

MACHAGUO
Rav4 3rd Generation
Mazda CX 5
Outlander
Forester Xt
Nissan Duals/X strail

Mambo muhimu ya kuzingatia kutokana na UZOEFU wako
Gari nzuri kwa beginner
Uimara wa gari.
Upatikanaji wa vipuri
Upatikanaji wa mafundi
Ulaji wa mafuta(sio kwa umuhimu sana)

Nawazilisha kwa maoni
 
MACHAGUO
Rav4 3rd Generation
Mazda CX 5
Outlander
Forester Xt
Nissan Duals/X strail
Kwa hiyo list na sifa unazotaka, toa kwanza CX-5, Outlander na izo Nissan. Your best bet ziwe Rav 4 na Forester XT achana na T (Turbo) chukua base model X.

Ila best of the best itakua Rav 4 hapo itakua imegusa kila angle la mahitaji yako na itaweza kukaa na ww ata 10 years ukiifanyia basic service.

CX-5 kwa budget ya 35 Mil utapata ata 2nd gen ila itakua Diesel. Ni nzuri na reliable ila ina masharti mengi sana kwa first car owner naona sio decision nzuri. Ila kama kipendacho roho unaweza ishi nayo, ila not recommended.

Outlander na mdogo wake RVR wako vema pia ila utakwama kidogo kwenye mafundi na spare na body parts, kidogo bado challenge ila nazo ukizifsnyia service zipo vizuri.

Nissan bwana ana maeneo yake ila nahisi mafundi wetu wanaikosea sana transmission ya CVT. Iko sensitive sana na ndio maana zikifka bongo after 2 years zinaanza kusumbua.

Kuhusu Subaru, XT nashauri uachane na Turbo ishi na base model kwa misele ya mjini ina performance nzuri shahidi mzuri PureView zeiss atasaidia.

Kwa machaguo yao me nashauri hivi:
1. Rav 4
2. Forester
3. Outlander
4. Nissan
5. CX5

Nyongeza:
6. Harrier
7…
 
Natangaza kua uzi huu umefungwa kwa comments ya Ndg mad max.
Asante sana muwe na cku njema.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hii itakua gari yangu ya kwanza kumili ni mgeni kwenye hii màneno. Nataka kuagiza Japan.

BAJETI
Isizidi 35M

MATUMIZI
Kwenda kazini na misele ya town Dodoma mjini pamoja na likizo kwenda Mwanza

MACHAGUO
Rav4 3rd Generation
Mazda CX 5
Outlander
Forester Xt
Nissan Duals/X strail

Mambo muhimu ya kuzingatia kutokana na UZOEFU wako
Gari nzuri kwa beginner
Uimara wa gari.
Upatikanaji wa vipuri
Upatikanaji wa mafundi
Ulaji wa mafuta(sio kwa umuhimu sana)

Nawazilisha kwa maoni
Anza na Hummer ama Jeep Wrangler
 
Achana kabisa na kitu kinaitwa Nissan.
Mazda nzuri sana Ila pata ya kuanzia 2015 na zingatia mafuta safi
 
Kwa hiyo list na sifa unazotaka, toa kwanza CX-5, Outlander na izo Nissan. Your best bet ziwe Rav 4 na Forester XT achana na T (Turbo) chukua base model X.

Ila best of the best itakua Rav 4 hapo itakua imegusa kila angle la mahitaji yako na itaweza kukaa na ww ata 10 years ukiifanyia basic service.

CX-5 kwa budget ya 35 Mil utapata ata 2nd gen ila itakua Diesel. Ni nzuri na reliable ila ina masharti mengi sana kwa first car owner naona sio decision nzuri. Ila kama kipendacho roho unaweza ishi nayo, ila not recommended.

Outlander na mdogo wake RVR wako vema pia ila utakwama kidogo kwenye mafundi na spare na body parts, kidogo bado challenge ila nazo ukizifsnyia service zipo vizuri.

Nissan bwana ana maeneo yake ila nahisi mafundi wetu wanaikosea sana transmission ya CVT. Iko sensitive sana na ndio maana zikifka bongo after 2 years zinaanza kusumbua.

Kuhusu Subaru, XT nashauri uachane na Turbo ishi na base model kwa misele ya mjini ina performance nzuri shahidi mzuri PureView zeiss atasaidia.

Kwa machaguo yao me nashauri hivi:
1. Rav 4
2. Forester
3. Outlander
4. Nissan
5. CX5

Nyongeza:
6. Harrier
7…
Thanx kwa maoni murua

Maswali ya ziada
Hivi hizi Rav4 3r Gen si ndio zipo pacha na Vanguard?
 
Mkuu umempa elimu kubwa Sana kwasababu kama ni gari ya Kwanza kumiliki ni Bora aende kwenye Toyota Tu..... Subaru forester XT inahitaji uangalizi wa Hali juu Sana hata Subaru forester non turbo inahitaji umakini pia kwasababu hizi gari ni very sensitive kwenye oil, filter pamoja na petrol station

Ni mwaka sasa nipo na XT lkn sijawahi kuingia kwenye petrol station tofauti na puma, total,afroil na petroafrica
 
Achana kabisa na kitu kinaitwa Nissan.
Mazda nzuri sana Ila pata ya kuanzia 2015 na zingatia mafuta safi
Mazada Cx-5 Umbo lake unyama sana
Hapo kwenye mafuta unamaanisha petrol/deasel ? Au oil?
Maana filling station zetu ndio hizi hizi tu
 
Uyo Diesel ndio ana matatizo. Ana engine yake inaitwa SkyActiv D iko very sensitive kwa oil (engine oil) na mafuta (yawe na Sulphur ndogo sana), ukizingua ivyo plus short trips za mjini (kama Dodoma alivyosema mtoa mada) tegemea:
  1. Oil dilution
  2. Kuziba DPF
  3. Turbo charger failure
  4. nk
Kama utataka CX-5 kama alivosema Mshana jitahidi iwe angalau ya 2015 walifanya maboresho kidogo, au kama uko vema chukua ya 2017/18 ambayo ni second generation, maboresho ni makibwa zaidi.

Pia zingatia ainaya ya oil (5W30 ACEA C3), usivushe muda wa oil, Diesel safi na usiendeshe hadi taa inawaka, avoid short trips, jua regeneration inavoenda nk.

BTW ni gari tamu, tech nzuri, efficiency nzuri, ukipata Petrol ata bila discount chukua ila Diesel fanya kwanza research.
 
Najipanga nivute Haval ya 2023 au 2025 ni gari kweli yanakimbiza sana hapa SA kama zilivyokimbiza Mazda CX-5 kipindi cha kuanzia 2013 mpaka 2015..
Haval Tigo pro 8 ni gari kweli Wasauzi wamelielewa kweli na Engine na parts zake ni kama copy ya Toyota tu mchina ana matatizo sana..
 
Hii itakua gari yangu ya kwanza kumili ni mgeni kwenye hii màneno. Nataka kuagiza Japan.

BAJETI
Isizidi 35M

MATUMIZI
Kwenda kazini na misele ya town Dodoma mjini pamoja na likizo kwenda Mwanza

MACHAGUO
Rav4 3rd Generation
Mazda CX 5
Outlander
Forester Xt
Nissan Duals/X strail

Mambo muhimu ya kuzingatia kutokana na UZOEFU wako
Gari nzuri kwa beginner
Uimara wa gari.
Upatikanaji wa vipuri
Upatikanaji wa mafundi
Ulaji wa mafuta(sio kwa umuhimu sana)

Nawazilisha kwa maoni
Kwanza kabla ya yote hujasema una uzoefu wa kiasi gani kwenye kuendesha gari.
Kama ni learner nunua kagari kadogo tu kwa ajili ya kujifunzia kabla hujanunua gari kubwa.
Vinginevyo itakufilisi kwa kununua spea za bei kubwa mara kwa mara kutokana na makosa ya kiuendeshaji.
 
Kwa hiyo list na sifa unazotaka, toa kwanza CX-5, Outlander na izo Nissan. Your best bet ziwe Rav 4 na Forester XT achana na T (Turbo) chukua base model X.

Ila best of the best itakua Rav 4 hapo itakua imegusa kila angle la mahitaji yako na itaweza kukaa na ww ata 10 years ukiifanyia basic service.

CX-5 kwa budget ya 35 Mil utapata ata 2nd gen ila itakua Diesel. Ni nzuri na reliable ila ina masharti mengi sana kwa first car owner naona sio decision nzuri. Ila kama kipendacho roho unaweza ishi nayo, ila not recommended.

Outlander na mdogo wake RVR wako vema pia ila utakwama kidogo kwenye mafundi na spare na body parts, kidogo bado challenge ila nazo ukizifsnyia service zipo vizuri.

Nissan bwana ana maeneo yake ila nahisi mafundi wetu wanaikosea sana transmission ya CVT. Iko sensitive sana na ndio maana zikifka bongo after 2 years zinaanza kusumbua.

Kuhusu Subaru, XT nashauri uachane na Turbo ishi na base model kwa misele ya mjini ina performance nzuri shahidi mzuri PureView zeiss atasaidia.

Kwa machaguo yao me nashauri hivi:
1. Rav 4
2. Forester
3. Outlander
4. Nissan
5. CX5

Nyongeza:
6. Harrier
7…
Mkuu niulize swali moja kwa ajili ya kujifunza.
Ni kwa nini harrier umeiweka mwishoni kabisa kwenye hayo machaguo je iko na changamoto zipi?
 
Back
Top Bottom