NISHAURI; Nianze na gari ipi wakuu?

NISHAURI; Nianze na gari ipi wakuu?

Mkuu niulize swali moja kwa ajili ya kujifunza.
Ni kwa nini harrier umeiweka mwishoni kabisa kwenye hayo machaguo je iko na changamoto zipi?
Harrier hajaiweka mwisho ila ameiweka nyongeza ambayo inaweza kufikiriwa kutumika. Kumbuka harrier haipo kabisa kwenye orodha hivyo huwezi kuongeza kitu ambacho hakijaulizwa
 
Kwanza kabla ya yote hujasema una uzoefu wa kiasi gani kwenye kuendesha gari.
Kama ni learner nunua kagari kadogo tu kwa ajili ya kujifunzia kabla hujanunua gari kubwa.
Vinginevyo itakufilisi kwa kununua spea za bei kubwa mara kwa mara kutokana na makosa ya kiuendeshaji.
Gari ni mzoefu sana tu wa kuendesha japo nilikuwa sijawahi kumiliki la kwangu binafsi
 
Harrier hajaiweka mwisho ila ameiweka nyongeza ambayo inaweza kufikiriwa kutumika. Kumbuka harrier haipo kabisa kwenye orodha hivyo huwezi kuongeza kitu ambacho hakijaulizwa
Harrier ninayoipenda bei imesimama sana haitoshi kwa bajeti yangu
 
CHukua chumaaa hicho
1000023049.jpg
 
RAV 4 KUANZIA 2010 -2023 BEST EVER MADE, ... Lakini mimi huwa sioni umuhimu wa kuagiza kutoka Japan wakati Dar Kuna Magari Kibao ambayo yametoka Japan na Hayajawahi kutumika hapa Tanzania, na kizuri zaidi unapata fulsa ya Kuchagua , kutest nakadhalika, Lakini mambo ya kuagiza ubaya wake hakuna kutest, hakuna kufanya ukaguzi, ukisha agiza , umeagiza.... fikiria hapo, na kwa kuwa ni gari lako la kwanza, Maoni yangu Nenda Dar, kuna kampuni zinakuruhusu test drive mpaka siku 3.
 
Hii itakua gari yangu ya kwanza kumili ni mgeni kwenye hii màneno. Nataka kuagiza Japan.

BAJETI
Isizidi 35M

MATUMIZI
Kwenda kazini na misele ya town Dodoma mjini pamoja na likizo kwenda Mwanza

MACHAGUO
Rav4 3rd Generation
Mazda CX 5
Outlander
Forester Xt
Nissan Duals/X strail

Mambo muhimu ya kuzingatia kutokana na UZOEFU wako
Gari nzuri kwa beginner
Uimara wa gari.
Upatikanaji wa vipuri
Upatikanaji wa mafundi
Ulaji wa mafuta(sio kwa umuhimu sana)

Nawazilisha kwa maoni
Chukua NISSAN WINGROAD watatumia mpaka wajukuu.
 
RAV 4 KUANZIA 2010 -2023 BEST EVER MADE, ... Lakini mimi huwa sioni umuhimu wa kuagiza kutoka Japan wakati Dar Kuna Magari Kibao ambayo yametoka Japan na Hayajawahi kutumika hapa Tanzania, na kizuri zaidi unapata fulsa ya Kuchagua , kutest nakadhalika, Lakini mambo ya kuagiza ubaya wake hakuna kutest, hakuna kufanya ukaguzi, ukisha agiza , umeagiza.... fikiria hapo, na kwa kuwa ni gari lako la kwanza, Maoni yangu Nenda Dar, kuna kampuni zinakuruhusu test drive mpaka siku 3.
Weka mfano asee nikawe mteja.
 
Imekaa vzr mkuu
 
Back
Top Bottom