Nisameheni

kwangu bado ina display hii hapa sasa mpya ni ipi au comp yangu ina virus?
 
LOL gmorning B. nadhani tuanzie hapo (nahisi utakuwa hujaamka vizuri)

B goodmorning......
nshaanza na leo nahisi nitapiga ki-NONAME kwa kwenda mbele....
 
kwangu bado ina display hii hapa sasa mpya ni ipi au comp yangu ina virus?

duh..labda ulimiss ile ilokuwa kwen transition...well hii ya kwako ndo umeingia rasmi kwen mambo ya kufoka foka na mabling bling nn kiongozi!
 
Naipenda JF bwana watu wanadead na avatar wako tayari kujitoa roho sababu ya avatar
Cheusimangara avatar yako niz nzuri tu mamy inaelezea mwanamke asilia wa kibantu haina haja ya kuitoa
 
Hommie vipi? umeshanigongea senks kwa ku do ze nidiful apo lakini?
Hebu kakague. Huwa sicheleweshi, hasa ki-noname kinapohusishwa.

B goodmorning......
nshaanza na leo nahisi nitapiga ki-NONAME kwa kwenda mbele....
Hehehe! Shughuli ni watu! (kwa kinoname- Activities is people.)

duh..labda ulimiss ile ilokuwa kwen transition...well hii ya kwako ndo umeingia rasmi kwen mambo ya kufoka foka na mabling bling nn kiongozi!
Hehehe! Hommie ndo anaamka huyu!
 
hommie hangover inakufanya uwe makini eh? lol. ngoja no-name aje!!
Panapokuwa na maslahi yangu huwa hangover haileti madhara. Kama unajua kusoma katikati ya mistari nadhani utakuwa umenielewa.
 
Yeah..ngoshwe vipi....nimekukwaza nini mkuu? I am the one and only one....when it comes to Cheusimangala!😀
Mkuu isije kuwa habari ya tanker la mafuta na kipanya bana, pima mwendo mkuu.

"Mtumishi wa Mungu na Mpakwa mafuta " Cheusimangala alidhani wengi tulikwazika na hiyo "real elevation" kumbe haikuwa hilo, baadae amegunduni kwa kitendoo chake cha kuweka avatar yenye mkono wenye pete ya ndoa badala ya uchumba ndo imekukwaza Mkuu zaidi, na thanks nyingi kwake kwa kurekebisha kosa haraka sana ili "dokta" usiumie!..
 
Amini nakuambia: Hakuna raha kama kudumisha mila na mrembo mwenye pete ya uchumba. Laiti Cheusie angelijua hilo...............!
 
Umesamehewa mdogo wangu
 
Amini nakuambia: Hakuna raha kama kudumisha mila na mrembo mwenye pete ya uchumba. Laiti Cheusie angelijua hilo...............!

kamwe hatarudisha avatar yenye engagement ring......(kibluray kimehusu hapo)
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…