cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 499
- Thread starter
-
- #141
hili linabidi lifanyiwe kazi haraka mapato yasizidi kupotea bure lolHahahahahaha ni hapo sasa! ili kuondoa utata ni bora wote tu wakusanyiwe kodi wale wenye original figures na wale waliotumia Chinese products. Kukusanya kodi kwa Wanaume itabidi Serikali iliingize hili kwenye MKUKUTA III ili liangaliwe kwa makini zaidi.
Duu mkuu unamwita wanaume mwenzio bibie! LOL
hahaha..mkuu BAK mi nimeibuka na kifaa kipya kabisa hiki mkulu!
Masa umeanza uchokozi wako kuna amani huku bana teh teh
Kama ndiyo hivyo Hongera sana Mkuu 🙂 Tunza mali zako si umeshasikia njembas zinavyommiminia miPM hivyo ukae chonjo Mkuu saa mbaya hahahahahahah
actuale nina moderate PM zake....kwa sheria za JF huwezi sema eti una PWD yake lakini ndo ivo LOL....
Haya Mkuu lakini hii hapa chini lazima ikuweke roho juu juu. Mjini hapa huwezi kujua hahahahaha Kwa maneno mengine pamoja na moderation yako bado nyingi tu ziliweza kumfikia. Chunga Kaizer Chunga! 🙂
nimeibadili sababu PMs zilizokuwa zikimiminika kama mvua ya masika zilikuwa zinanikosesha pumzi na hata niliposema nina mchumba haikusaidia,hivyo natumai mabadiliko haya ya avatar yatapunguza wingi wa PMs kama sio kuzimaliza kabisa.
mkulu wala usijali maji ya moto hayachomi nyumba!
Duu mkuu unamwita wanaume mwenzio bibie! LOL
Duu mkuu unamwita wanaume mwenzio bibie! LOL
nitatafuta nyingine nzuri,ucjali,najua unaipenda lkn kubali matokea!
Cheusi ile ya pete ya uchumba uliweka juzi ndo ingekunusuru labda......(japo naskia pete nazo ndo kivutio)
Umeisikia wapi hii?Cheusi ile ya pete ya uchumba uliweka juzi ndo ingekunusuru labda......(japo naskia pete nazo ndo kivutio)
LOL B umesoma kiarabu, hebu chungulia ni(tu)livyomsihi airudishe hii!😀
Umeisikia wapi hii?
samahani kama nitakuwa nimewakwaza wenye pete
hahaaaaaa
kumbe eeeh!!
it was not easy, to say the least...but tumesuuzika sasa.si unajua sheria ya hatimilika B?
Umeisikia wapi hii?
samahani kama nitakuwa nimewakwaza wenye pete
humu humu ndani, wewe hukuiona ile thread ya 'kwanini wajivalishe pete za uchumba na ndoa?'