cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 500
- Thread starter
-
- #21
Bibie Cheusi sometimes I wonder as to the basic difference in thinking kati ya wanaume na wanawake.
Tumeona mara kadhaa mwnamke anatembea nusu uchi au amevaa nguo zinazombana sana kiasi cha kuonyesha kila kitu hadharani.
Wanawake wa aina hiyo wala hawako concerned watu wengine wanafikiri vipi au kupata hisia gani.
Hata makanisani, umekuwa mtindo siku hizi kucheza jives ambazo zinatikisa mwili wa mwanamke, mitikisiko inayoweza kuwa suggestive na kuondoa amani ya kiroho.
Avtar yako, Cheusi, ilikuwa inafall katika category hii ya kutofikiria upande wa pili unahisi vipi.
Niliiona hiyo avtar na, I am sorry to say, it put me off.
Hii ya kidole can be just a bit better , but you never know what turns on some people(men).
Kweli? Mara tatu Yesu kamsamehe Peter? Au Mara tatu kakanwa na Peter? Au Peter kakiri kumpenda Yesu mara tatu? Mzee revise elimu yako ya Biblia. Labda kama umechanganywa na ile saba mara sabini!Umeshasamehewa. Hata Yesu alimsamehe Petro mara tatu.
Usijali sana mamdogo haya ni mambo ya kawaida kwani huwezi kumridhisha kila mtu. Utasikia hata hii uloiweka wanasema inawakwaza. Bt usijali. Binafsi nilichukulia kama avatar nyingine kwani sikwenda zaidi ya kuitazama na kusoma ujumbe wako. Hata hivyo ni jambo jema kwani kama ulivyosema wengi walikutumia PMs ambazo nadhani si nzuri sana na umeamua kubadili. Waweza kufanya lolote jema kwako ilmradi haliendi kinyume cha Mungu atakavyo. Nawaheshimu kina mama wote kama dada zangu na mama zangu. Ubarikiwe!Naomba msamaha nikimaanisha kutoka ndani ya moyo wangu,
Ni mara kadhaa nimekuwa nikikutana na coments za kaka zangu wakidai kuwa avatar yangu ile ya mwanzo imekuwa ikiwatia majaribuni.
Mimi ni binti wa kikristo,hivyo kumuangusha mwenzangu majaribuni ni jambo zito na lenye kuipoteza amani ya moyo wangu ndio maana nimeamua kuitoa avatar ile.
Mbaya zaidi najiona nilikuwa kama mnafiki sbb sometimes nimekuwa nikiwaandikia maneno ya ujumbe wa mungu nikiwasihi tuache maasi lkn avatar yangu ilikuwa against what i was preaching sbb ilikuwa ikiwasukuma kaka zangu kuwazia maasi.(nimetubu kwa hilo,nanyi tubuni).
Pia nimeibadili sababu PMs zilizokuwa zikimiminika kama mvua ya masika zilikuwa zinanikosesha pumzi na hata niliposema nina mchumba haikusaidia,hivyo natumai mabadiliko haya ya avatar yatapunguza wingi wa PMs kama sio kuzimaliza kabisa.
now i know what carmel waz talkin about,nimekoma jamani!!!
kaka zangu nisameheni hakika sikujua kama kale ka-avatar yaani kanaweza kuwatia majaribuni jamani.
I love u all.
anha kumbe nyie watu mnaignore pm zetu kwaajili ya kuhofia watu wamependa avatar?mnakosa dili bure kabisa.Pole mpendwa yani nilifikiri ni mie tu ninapata PMS nyingi kwa jairi ya lile jukwaa nilipendalo mhh, usijali yote maisha ila ungerudisha tu ile avatar na kuzi ignore pms zote!
Be blessed!
hehehe cheusimangala eti nimekoma,pole,ni vizuri kupata amani ya moyo.Naomba msamaha nikimaanisha kutoka ndani ya moyo wangu,
Ni mara kadhaa nimekuwa nikikutana na coments za kaka zangu wakidai kuwa avatar yangu ile ya mwanzo imekuwa ikiwatia majaribuni.
Mimi ni binti wa kikristo,hivyo kumuangusha mwenzangu majaribuni ni jambo zito na lenye kuipoteza amani ya moyo wangu ndio maana nimeamua kuitoa avatar ile.
Mbaya zaidi najiona nilikuwa kama mnafiki sbb sometimes nimekuwa nikiwaandikia maneno ya ujumbe wa mungu nikiwasihi tuache maasi lkn avatar yangu ilikuwa against what i was preaching sbb ilikuwa ikiwasukuma kaka zangu kuwazia maasi.(nimetubu kwa hilo,nanyi tubuni).
Pia nimeibadili sababu PMs zilizokuwa zikimiminika kama mvua ya masika zilikuwa zinanikosesha pumzi na hata niliposema nina mchumba haikusaidia,hivyo natumai mabadiliko haya ya avatar yatapunguza wingi wa PMs kama sio kuzimaliza kabisa.
now i know what carmel waz talkin about,nimekoma jamani!!!
kaka zangu nisameheni hakika sikujua kama kale ka-avatar yaani kanaweza kuwatia majaribuni jamani.
I love u all.
"" Nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana, naye atanisamehe upotovu wa dhambi zangu"
Kaizer@jamiiforums.com
kaizer naipenda signature yako!
Mhhh....
.......wewe mbona unabadilisha avatar, sasa hivi nilimuona denzel washington.
Sijui ipi nzuri zaidi.
Pretty help me out.........
........Hii ipo poa tu, ila unaweza kutafuta nyingine alizotoka more handsome.
Maria umelonga!!Pole mpendwa yani nilifikiri ni mie tu ninapata PMS nyingi kwa jairi ya lile jukwaa nilipendalo mhh, usijali yote maisha ila ungerudisha tu ile avatar na kuzi ignore pms zote!
Be blessed!