I told you. Nikichanganya zile liquid zile. Unakumbuka mambo ya back and forth? Sijui hiki ni kinoname au kiblurey? I don know!kweli biggy mbongo yako imepata mushkeri karibuni......
Unakumbuka yale mambo ya kwenye kemistri form srii B sijui ndo makuantativu analisisi? Element inakuwa kwanza present, then present tena, na tena. Halafu shuwaaaap: Confirmed!hehehe hommie....ndo umeconfirm apo!
Hii sasa ndio ofu topiki. Na nyingine hii hapa chini.goodafternoon my dear Carmel!!!
carmel, weekend ilikuwaje?🙄
goodafternoon my dear Carmel!!!
carmel, weekend ilikuwaje?🙄
I told you. Nikichanganya zile liquid zile. Unakumbuka mambo ya back and forth? Sijui hiki ni kinoname au kiblurey? I don know!
ni ki-bluray
Hii sasa ndio ofu topiki. Na nyingine hii hapa chini.
We inabidi tukutafutie Kibanga a do the needful kwa mkoloni wako!itafahamika tu mwaka huu!...mimi na mkoloni.....!MKOLONI NA MIMI.
leo tunajadili nini?i mean MUDA HUU TUNAJADILI NINI?
hahaaha!i am connecting from there there!.........(....)!eneweiWe inabidi tukutafutie Kibanga a do the needful kwa mkoloni wako!
BTW vipi haka kabaridi, gesti umepata nafasi kweli?
itafahamika tu mwaka huu!...mimi na mkoloni.....!MKOLONI NA MIMI.
leo tunajadili nini?i mean MUDA HUU TUNAJADILI NINI?
Unajua bia za oceanic zinalewesha sana.......... anzia kukonekti dots hapo.hahaaha!i am connecting from there there!.........(....)!enewei
mi nasemaje,safari HII tutafanya FUMANIZI OCEANIC.tutaenda tu...
WANATAKA TUNAENDA....!hawataki tunaenda..!ngoja niendele na vipindi darasani
Unajua bia za oceanic zinalewesha sana.......... anzia kukonekti dots hapo.
??????😕😕😕😕
Mimi bwana shemegi tukienda osheniki ntalewa sana ntashindwa kuendesha......... Tofauti na osheniki: Hey hebu ongeza bia hapa watu wana kiu! Washikiz wangu bana, wamepata wadumisha mila na desturi!!!ITAJULIKANA TU!
tuendelee na sredi😀😀
tutafika tu!??????
Mimi bwana shemegi tukienda osheniki ntalewa sana ntashindwa kuendesha......... Tofauti na osheniki: Hey hebu ongeza bia hapa watu wana kiu! Washikiz wangu bana, wamepata wadumisha mila na desturi!!!
hommie bado hajaamka tu....nataka kuanza kuichunguli hii thread kama guest!!??????
Mimi bwana shemegi tukienda osheniki ntalewa sana ntashindwa kuendesha......... Tofauti na osheniki: Hey hebu ongeza bia hapa watu wana kiu! Washikiz wangu bana, wamepata wadumisha mila na desturi!!!
Ili mradi AIR CLEARNER isiingie maji. Itaua mashine.......😀😀😀tutafika tu!
mguu kwa mguu mpaka MAPINGA
Bado kuamka. Mabox yamepoteza usingizi wa mgeni wetu.hommie bado hajaamka tu....nataka kuanza kuichunguli hii thread kama guest!!
hommie bado hajaamka tu....nataka kuanza kuichunguli hii thread kama guest!!
mie pia niliazani hivyo bht lkn wapwaz wakataka kunitoa roho wakidai eti hii avatar mali yao sina haki ya kuitoa,Cheusi ile ya pete ya uchumba uliweka juzi ndo ingekunusuru labda......(japo naskia pete nazo ndo kivutio)
Mimi napenda pete ya ndoa.
chrispin chrispin chrispin hebu nenda kule kwenye darasa langu la mahubiri nataka kuongea na wewe!Amini nakuambia: Hakuna raha kama kudumisha mila na mrembo mwenye pete ya uchumba. Laiti Cheusie angelijua hilo...............!
mie pia niliazani hivyo bht lkn wapwaz wakataka kunitoa roho wakidai eti hii avatar mali yao sina haki ya kuitoa,
NAni anakusumbua mamsapu nani anamsumbua raazizi?