Nisamehe

Nisamehe

Kitotonya

Senior Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
188
Reaction score
60
Habari wana jf
Mara nyingi neno nisamehe huwa linatumika pale ambapo watu wanapokua wametofautiana kauli sasa kuyamaliza kila mmoja wapo anaomba msamaha kwa mwenzie. Lakini mi hua naona linatumika vibaya pale ambapo una mgegeda mdada anakuambia bby nisamehe..na hi kitu imenitokea kwa wadada zaidi ya watano, sasa hua najiuliza nawakoseaga nini mpaka wananiambia niwasamehe. Hebu tupeane uzoefu na hili neno wana JF
 
hahaaa wengine wanagegeda kama anakuadhibu vile labda

ndio maana wanaomba msamaha
 
Kwa hiyo hao watano ni toka uanze kujifunza kugonganisha vikojoleo ama ni idadi ya waomba msamaha?
 
Kwa hiyo hao watano ni toka uanze kujifunza kugonganisha vikojoleo ama ni idadi ya waomba msamaha?

Ndio idadi ya waomba msamaha, sasa je hua wanataka wasamehewe kosa gani mi sielewi
 
wakati unawagegeda wanakuwa wanavuta hisia za njemba nyingine.............
 
Ungewauliza nadhani ungepata jibu sahihi maana sie wengine tunasema 'baby asante'!
 
Ungewauliza nadhani ungepata jibu sahihi maana sie wengine tunasema 'baby asante'!


wakati wengine tumezoea kusikia vitu kama hivi na vitu kama "baby i love you" na machozi juu n.k,,,,, yeye anaombwa msamaha, hizo ni signs za guilt consciousness,,,,,,,
 
wakati wengine tumezoea kusikia vitu kama hivi na vitu kama "baby i love you" na machozi juu n.k,,,,, yeye anaombwa msamaha, hizo ni signs za guilt consciousness,,,,,,,[/QUOTE Gult sign may be labda wanaona wanambembenda tu,
 
wakati wengine tumezoea kusikia vitu kama hivi na vitu kama "baby i love you" na machozi juu n.k,,,,, yeye anaombwa msamaha, hizo ni signs za guilt consciousness,,,,,,,

Upo sahihi.......huwezi kusema nisamehe bila kosa.......kuna kitu......
 
kwa sababu kunajambo baya wamekufanyia katika uzinzi e.g kukuambukiza ukimwi nenda kapime kaka
 
Upo sahihi.......huwezi kusema nisamehe bila kosa.......kuna kitu......

ni kweli kabisa utakuta jamaa anaudhaifu fulani ambao unawaletea hao wadada kufanya mambo fulani fulani ,,,,,, sasa dhamira zinawasuta wanaishia kuomba msamaha katikati ya game,,,,,,,,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom