asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Gult sign may be labda wanaona wanambembenda tu,
uwezekano huo pia upo,,,,,,,,,,,,
Gult sign may be labda wanaona wanambembenda tu,
Ungewauliza nadhani ungepata jibu sahihi maana sie wengine tunasema 'baby asante'!
hahaaa wengine wanagegeda kama anakuadhibu vile labda
ndio maana wanaomba msamaha
imebidi nicheke tu
Habari wana jf
Mara nyingi neno nisamehe huwa linatumika pale ambapo watu wanapokua wametofautiana kauli sasa kuyamaliza kila mmoja wapo anaomba msamaha kwa mwenzie. Lakini mi hua naona linatumika vibaya pale ambapo una mgegeda mdada anakuambia bby nisamehe..na hi kitu imenitokea kwa wadada zaidi ya watano, sasa hua najiuliza nawakoseaga nini mpaka wananiambia niwasamehe. Hebu tupeane uzoefu na hili neno wana JF