Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,549
- Thread starter
- #81
Wapi tena? Tema ugoro kwanza ndo u comment.Mzee mbona mada mbili tofauti unawezaje kunywa Pepsi, Miranda, 7up kwa wakati mmoja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi tena? Tema ugoro kwanza ndo u comment.Mzee mbona mada mbili tofauti unawezaje kunywa Pepsi, Miranda, 7up kwa wakati mmoja?
Mtafutaji hachoki.Nebuchadinezzer,
Sawa usioe endelea kutikisa kila pochi manyoya
@Aidanna unanitaka eeh!Mwanaume huna adabu kabisa, unafananisha mwanamke na soda jamani, ila siumii kwa kuwa najua una kibamia tena nyanya chungu, unatafuta bikra ili ujipozeeeeeee
Nisingemsema mkuu ila amejifunza.Mkuu ulijimwambafai kupita kiasi hadi ukaharibu mood za watu, siku nyingine tumia ustaarabu maana kwa mawazo yake alijua anaelekea kupoteza kazi ukimsemea kwa meneja
Asantw mkuu ntaitafuta.Temptations confession of the marriage councilor...watch hiyo movie utajifunzs kitu kuhusu bikra
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!Jamaa naona wengi hamjamuelewa. Hapo soda ni huyo mhudumu alidhani atakuta ana bikira kumbe hakuna. Ndio maana anasema amepewa soda iliyofunguliwa tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
wanazo mbona.
Sawa we endelea tumkuu ukikamatwa ni uzembe wako tu kwanza nitaachiwa kwenye sikukuu ya Uhuru kwa msamaha