Nisamehe waitress

Nisamehe waitress

Ahahahah...aisee.
Umenikumbusha mwezi august nilikua mwanza.Nimemaliza kazi pale rock city mall (tulikua tunafunga security system pale za milangoni) nikajongea kuna bar na mgahwa pale kwa nyuma kidogo (njia kama unaenda airport) inaitwa DIAMOND nn sijui nikale msosi na ku chek game ilikua simba na nan sijui.
Basi nimeagiza ugali na samaki.Nataka mkia waiter kaniwekea kichwa ..halaf kashaweka na ma mbwembwe mengi kias kwamba huwez kumrudisha tena jikon.
Nika mind kinoma sema nikamuonea huruma yule bint nikigomea chakula hataweza kukilipa kwa bosi.Ikabid nile hivyo hivyo ila nili mindi sanaa nikawa nakula huku naongea ahahahahha.
NILIKUJA CHOKA baada ya muda yule sister kuja pale na kunambia " najua nimekukera sana, ila nisamehe,kama vp chukua namba yangu nije nikubembeleze baadae"
Ptuuuuu...hasira zikakata ghafla na njaa ikaisha..nikalipa nikaondoka.Maana nikaona hil balaa sasa.

NB.
hata namba sikuchukua.
Ahahahahahahahahah
 
Mamaaeee na ufirauni wangu wote niliowahi kufanya miaka ya nyuma kabla yakuoa sijawahi kutana na msichana bikra,yaani nimetyomba wanawake kama 1000 lakini sijafanikiwa kukutana bikra,sijui nilikuwa na mkosi gani Mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapana.Hatar hii.
Umeshatoa ushuhuda kule kwenye uzi pendwa??
Naamin katika visa 1000 ,vya masihara havikosekani.
Ahahahah
 
Ha ha ha ha,,rafiki yako ameoa takribani mwezi mmoja uliopita,unaenda bar unawakuta wanakunywa wine,,unaagiza soda inakuja imefunguliwa tayari,
Na mwisho unauliza wanaooa wanawake wasio na bikra wanatoa wapi ujasiri ?
Wewe jamaa ni nyoko sana!!!ila sijui kama rafiki yako alikuelewa ulichomaanisha kwa mfano huo wa kutotumia bidhaa iliyokwisha funguliwa na wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi bhana nilienda bar fulani kupata moja baridi (mirinda nyeusi)

Baadae nilimshushia maneno yule waitress mpaka akaanza kulia huku akipiga magoti kuniomba msamaha.
giphy.gif
 
Write your reply...zipo sikuhizi bk nilizichakata mbili za wanafunzi mmoja form two mwengine three last year nakumbuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom