Nisamehe waitress

Nisamehe waitress

Naona stress za kutokupata bikra umeamua umalizie muhudumu ungemwelewesha kistaarabu dada hapa umekosea hukupaswa kufanya hivi hiyo kunywa nipatie nyingine
wala usingepungukiwa chochote
nahisi waliokaa pembeni walikudharau sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee mbona mada mbili tofauti unawezaje kunywa Pepsi, Miranda, 7up kwa wakati mmoja?
 
Ahahahah...aisee.
Umenikumbusha mwezi august nilikua mwanza.Nimemaliza kazi pale rock city mall (tulikua tunafunga security system pale za milangoni) nikajongea kuna bar na mgahwa pale kwa nyuma kidogo (njia kama unaenda airport) inaitwa DIAMOND nn sijui nikale msosi na ku chek game ilikua simba na nan sijui.
Basi nimeagiza ugali na samaki.Nataka mkia waiter kaniwekea kichwa ..halaf kashaweka na ma mbwembwe mengi kias kwamba huwez kumrudisha tena jikon.
Nika mind kinoma sema nikamuonea huruma yule bint nikigomea chakula hataweza kukilipa kwa bosi.Ikabid nile hivyo hivyo ila nili mindi sanaa nikawa nakula huku naongea ahahahahha.
NILIKUJA CHOKA baada ya muda yule sister kuja pale na kunambia " najua nimekukera sana, ila nisamehe,kama vp chukua namba yangu nije nikubembeleze baadae"
Ptuuuuu...hasira zikakata ghafla na njaa ikaisha..nikalipa nikaondoka.Maana nikaona hil balaa sasa.

NB.
hata namba sikuchukua.
Ahahahahahahahahah
Diamond wanauza samaki wa vipande.....!!!!????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishawai letewa chakula.kijiko cha kwanza inzi.Kwa kuwa tulikua wengi nikaita mwudumu.Nikamnong'oneza.Akachukua akaleta kingine bado kina Inzi.Nikasubiri wengine wakamaliza kula tukalipa tukasepa....

Very easy.
 
Mwanaume huna adabu kabisa, unafananisha mwanamke na soda jamani, ila siumii kwa kuwa najua una kibamia tena nyanya chungu, unatafuta bikra ili ujipozeeeeeee
 
Mkuu ulijimwambafai kupita kiasi hadi ukaharibu mood za watu, siku nyingine tumia ustaarabu maana kwa mawazo yake alijua anaelekea kupoteza kazi ukimsemea kwa meneja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom