Nisamehe waitress

Nisamehe waitress

Juzi bhana nilienda bar fulani kupata moja baridi (mirinda nyeusi). Ile naingia hvi, nakutana na rafiki yangu Thomas, ikabidi nijongee kwenye meza aliyokuwa amekaa akiwa na mkewe ( wameoana kama mwezi tu). Wakipata wine taratibu.

Ile nimekaa waitress akaja ili anihudumie, nikaagiza mirinda nyeusi. Then nikawa busy na chat na manzi flani hvi.Cha kustajabisha, waitress akaja na soda imefunguliwa tyari. Eti ,karibu. Aisee nilipandwa na hasira nikaimwaga chini ile soda. Kila mtu pale bar akashangaa!

Baadae nilimshushia maneno yule waitress mpaka akaanza kulia huku akipiga magoti kuniomba msamaha..akishika miguu yangu huku akinisihi nisiende kushitaki kwa meneja wake.

Kwa kitendo kile nilikosa amani kabisa na ile bar hadi Leo sitarudia tena kwenda pale.

Hebu fikria, unapewa soda iliyofunguliwa kizibo halafu hujua kaifungua SAA ngapi. Utajisikiaje?

Na nyie mliooa wanawake mkakuta hawana bikra amani mnaitoa wapi?

Nimewamiss JF wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
noma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahah...aisee.
Umenikumbusha mwezi august nilikua mwanza.Nimemaliza kazi pale rock city mall (tulikua tunafunga security system pale za milangoni) nikajongea kuna bar na mgahwa pale kwa nyuma kidogo (njia kama unaenda airport) inaitwa DIAMOND nn sijui nikale msosi na ku chek game ilikua simba na nan sijui.
Basi nimeagiza ugali na samaki.Nataka mkia waiter kaniwekea kichwa ..halaf kashaweka na ma mbwembwe mengi kias kwamba huwez kumrudisha tena jikon.
Nika mind kinoma sema nikamuonea huruma yule bint nikigomea chakula hataweza kukilipa kwa bosi.Ikabid nile hivyo hivyo ila nili mindi sanaa nikawa nakula huku naongea ahahahahha.
NILIKUJA CHOKA baada ya muda yule sister kuja pale na kunambia " najua nimekukera sana, ila nisamehe,kama vp chukua namba yangu nije nikubembeleze baadae"
Ptuuuuu...hasira zikakata ghafla na njaa ikaisha..nikalipa nikaondoka.Maana nikaona hil balaa sasa.

NB.
hata namba sikuchukua.
Ahahahahahahahahah
Aisee pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha,,rafiki yako ameoa takribani mwezi mmoja uliopita,unaenda bar unawakuta wanakunywa wine,,unaagiza soda inakuja imefunguliwa tayari,
Na mwisho unauliza wanaooa wanawake wasio na bikra wanatoa wapi ujasiri ?
Wewe jamaa ni nyoko sana!!!ila sijui kama rafiki yako alikuelewa ulichomaanisha kwa mfano huo wa kutotumia bidhaa iliyokwisha funguliwa na wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki yngu ni MTU anayemaindi sana....ingekua ndio yy kahudumiwa hivyo, Kakuhakikishia binti yule angechezea makofi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapana.Hatar hii.
Umeshatoa ushuhuda kule kwenye uzi pendwa??
Naamin katika visa 1000 ,vya masihara havikosekani.
Ahahahah
Mkuu 80% niliwatafuna kimasihara,kama wadau wanavyosema,Mana Mimi nilikuwa nakawaida sichombezi mpaka nione kuna viashiria vya mtoto kutaka kuliwa.Halafu sijui kwanini shetani alikuwa upande wangu,Mana nilikuwa nikiweka akilini tu kwamba huyu namla basi nitamla kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi nikiwa na umri wa miaka kama 12 au 13 kuna mgeni mzee mmoja hivi alikuja nyumbani kututembelea, hivyo kama ilivyo kawaida yetu Watanzania mgeni akija mnamnunulia soda au kama zipo hapo home mnachukua mnampa anaendelea kupoza koo.

Basi bhana pale home soda zilikuwepo hivyo Baba akaniita nipeleke soda mbili maana walikuwa wamekaa kwa nje na mgeni, basi mimi na kiherehere changu nilivyo chukua zile soda nikazifungua mule mule ndani pasipo kujua kama ni makosa makubwa sana, tena nakumbuka nilitumia meno kuzifungilia zile soda.

Sasa kipindi natoka mule sebuleni nikakutana na mama anakuja mule ndani akanicheki nimeshika zile soda akaniuliza hizo soda unapeleka wapi? Nikamjibu Baba kasema nimpelekee hapo nje.

DUH! Nilishangaa napigwa kofi na Mama bila kusahau hayo mashavu nilivutwa nikakoma, nilicho ambiwa ni kwamba "unataka tuonekane sisi umu ndani ni wachawi haya weka hizo soda pembeni chukua nyingine upeleke bila kuzifungua"

Sikujua Mama alikua anamaasha nini mpaka pale badae alipo kuja kuniambia Kuwa kitendo cha kufungua soda pasipo mnywaji kushuhudia ni kosa kubwa sana yani leo humu ndani sijui tungeonekanaje mwanangu.

Basi ndio nikawa na mimi nimejifunza jambo hapo nikiwa na miaka kama 12 hivi wakati kuna mtu saiv ni mtu mzima kabisa ila hajui hilo jambo kama huyo dada.

Hivyo ulicho kifanya mkuu ni sahihi japo ulimfokea dada wa watu ila kwa vile umeomba msamaha haina shida mkuu.



Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona stress za kutokupata bikra umeamua umalizie muhudumu ungemwelewesha kistaarabu dada hapa umekosea hukupaswa kufanya hivi hiyo kunywa nipatie nyingine
wala usingepungukiwa chochote
nahisi waliokaa pembeni walikudharau sana

Sent using Jamii Forums mobile app
@Marcy stress za nn na wakati mabikira wapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom