Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

huo ujinga ebu soma tangazo langu hapa

nauza samaki wa mapambo
aina tofauti kama zifuatavyo
black more
shiling 10000 kwa pea serfin
more
shiling 10000 kwa pea orange more shiling 10000
kwa pea gapi wekundu
shiling 10000 kwa pea gold fish
shilingi10000 kwa pea na aina
nyingine nyingi kwa
picha zaidi tembelea facebook page
appolinary william utaona picha
ya samaki
kwa picha na mawasiliano
whats app number 0712505049
huduma hadi nyumbani kwako

umeskia tupo gulioni hapa?
hem pita hiviiiiiiii»»»»»»»»»»»»
 
yaani mie nimecheka kama mwehu. wallah hawa watu sio wazima. ila hii thread inanukia utajiri tajiri. sijui nilichelewa wapi kumbembelezea limbogin akubaliwe.
yan hujui tu navochungulia PM yangu nikute nimeulizwa namba za simu niwekewe hata ya kufanya shopping Mlimani city!
 
yan hujui tu navochungulia PM yangu nikute nimeulizwa namba za simu niwekewe hata ya kufanya shopping Mlimani city!

We relax snowhite kuna list msweet amewa mention mtu 3 I can't keep promise as a human being but I will do my best kuwafanya mfurahi Kama mlivyomfurahisha msweet wangu Rapunzel
 
Last edited by a moderator:
Kama ni promo tuu mkulu umetisha...!! Dedication Davido - Gallardo...hela zote hizo ulizonazo...hiyo ni kama ni kweli unayumbishwa na mwanamke...!! OUvERrrRrR
 
Kama ni promo tuu mkulu umetisha...!! Dedication Davido - Gallardo...hela zote hizo ulizonazo...hiyo ni kama ni kweli unayumbishwa na mwanamke...!! OUvERrrRrR

It is not a Promo ..... it is reality ndio iko hivyo....
Actually.. Ushawahi kupenda mkuu?
 
We relax snowhite kuna list msweet amewa mention mtu 3 I can't keep promise as a human being but I will do my best kuwafanya mfurahi Kama mlivyomfurahisha msweet wangu Rapunzel
Hihihihihihihi.
Happy to see pipo happy!
Bonge la lihug kwenu wawili !
 
Last edited by a moderator:
Congratulations, SNOWHITE,KONGOSHO na MUNKARI.Kazi kubwa mloifanya jana nimeiona
Hahahahahaha nkikumbuka michango yenu mi hoi.
 
Congratulations, SNOWHITE,KONGOSHO na MUNKARI.Kazi kubwa mloifanya jana nimeiona
Hahahahahaha nkikumbuka michango yenu mi hoi.
hahhhahahaha vita n viiiita Mura!
no stone was left unturned!
sa hiz aaaaaah watu na wasweet bebs wao
 
Back
Top Bottom