KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,292
Yani 10M kabisa?!!
Kwanini usimpige risasi?
Kwanini usimpige risasi?
Mkuu amekwama hapa kwa dada sijui nan aghh majina yao magumu bwana! kuna muda pesa si kitu moyo unafukuta kwa mapenziYani 10M kabisa?!!
Kwanini usimpige risasi?
Ohooo kumbe...
Ngoja nicheki na hommie akutumie ipasavyo mpk ukose hamu ya kuja kwenye umbea. Utakondaje kuishi bila umbea?
..yani we acha tu...mie naona kama kero saivi!! Huyu akigeukia kule I love u, akienda huko I love u...khaa!!
umeskia tupo gulioni hapa?
hem pita hiviiiiiiii»»»»»»»»»»»»
Ukitaka dar express zibadilishe roaster ya madereva usababishe nikose umbea!Ohooo kumbe...
Ngoja nicheki na hommie akutumie ipasavyo mpk ukose hamu ya kuja kwenye umbea. Utakondaje kuishi bila umbea?
ninachokupenda huna cha kulembalemba kwa mijitu mijingamijinga.
hivi leo si wikend??chap chap saana kam without..
Ukitaka dar express zibadilishe roaster ya madereva usababishe nikose umbea!
Sinfanyie hi yo mke wenu!
Yani 10M kabisa?!!
Kwanini usimpige risasi?
Mi najua unajua kuwa nlikuwa nakutania. We hata nikikufumania unatusaliti, mi ndo ntakuomba radhi. Limbwata likikaribia kuisha unambie mke wetu.
Ahaahahahahahaha konnie wallahi tusije tu kulia mbele ya safari!Braza umeniita, kuna mtu ali hack account yangu.
hapa leo hubanduki!!
Wee mbona hujaniita mapema kwenye hii show jamani....lol
Ahaahahahahahaha konnie wallahi tusije tu kulia mbele ya safari!
Mirathi mingine huwa Haifai!