Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

hahhhahahaha vita n viiiita Mura!
no stone was left unturned!
sa hiz aaaaaah watu na wasweet bebs wao

We snowhite na Kongosho nataka kujua historia za mimba zenu,mlivyozaliwa na mlivyolelewa, kuna kitu hakipo sawa au kipo sawa zaid ya ilivyotakiwa!!!!!

Mannniiinnnner zenu sana!!!!!! Khaaaa
 
Last edited by a moderator:
We snowhite na Kongosho nataka kujua historia za mimba zenu,mlivyozaliwa na mlivyolelewa, kuna kitu hakipo sawa au kipo sawa zaid ya ilivyotakiwa!!!!!

Mannniiinnnner zenu sana!!!!!! Khaaaa

yani mimba zetu hizi za sa hiz au?
vitu vingine uwage unauliza spesifiki!
viiiiiiiip masai?
by ze way yangu i mean ya mama nafkir ilipatikana baba alivopandishwa cheo
kuhusu konnie hem kwanza nicheck nae!
ntarud!
 
Last edited by a moderator:
Miaka hiyo mingi iliyopita ulipotumia 10 M kwenye charity ya huyu msichana wote mlikuwa wana JF lkn hapo inaonyesha umejiunga mwezi uliopita JF!

Hii ni hadithi ya kutunga bana
 
yani mimba zetu hizi za sa hiz au?
vitu vingine uwage unauliza spesifiki!
viiiiiiiip masai?
by ze way yangu i mean ya mama nafkir ilipatikana baba alivopandishwa cheo
kuhusu konnie hem kwanza nicheck nae
ntarud!

Mi poa kabisaaaa ,visa vyenu aaaaaaanh didint no nina madada komedi kabisa! !!!!!
Yaani enewei mngekuwa mnauzika aseee Tanzanite cha mtoto
 
Mi poa kabisaaaa ,visa vyenu aaaaaaanh didint no nina madada komedi kabisa! !!!!!
Yaani enewei mngekuwa mnauzika aseee Tanzanite cha mtoto
hahahahhh karibuuuu!
hapo kweny mauzo hapo..........
unanfanya nianze kuwaza million 10 za watu!aaaargh!
 
hiv hujaona my wii wetu anesemaje?
our trio melted her heart!sorry her sweet beautiful heart!
af konnie kidhungu cha kubembeledha kitaaaaamu!

hivi we ninani yake?? Kongosho wifi mtu,miye mdogo ake rapunzel ,haya we sijui shangazi?? Hahahahaha!!
 
huo ujinga ebu soma tangazo langu hapa

nauza samaki wa mapambo
aina tofauti kama zifuatavyo
black more
shiling 10000 kwa pea serfin
more
shiling 10000 kwa pea orange more shiling 10000
kwa pea gapi wekundu
shiling 10000 kwa pea gold fish
shilingi10000 kwa pea na aina
nyingine nyingi kwa
picha zaidi tembelea facebook page
appolinary william utaona picha
ya samaki
kwa picha na mawasiliano
whats app number 0712505049
huduma hadi nyumbani kwako

we naye em toka pa,soko hulijui??
 
We relax snowhite kuna list msweet amewa mention mtu 3 I can't keep promise as a human being but I will do my best kuwafanya mfurahi Kama mlivyomfurahisha msweet wangu Rapunzel

uuuuhuuhhu !! Neema ya mungu imetuzungukaa!! Huu wimbo kaimba nani? Aisee !! Shem Lamborghini msweet akizingua tena we mreport abuse kwetu!!
 
Last edited by a moderator:
uuuuhuuhhu !! Neema ya mungu imetuzungukaa!! Huu wimbo kaimba nani? Aisee !! Shem Lamborghini msweet akizingua tena we mreport abuse kwetu!!
zunguka zunguka zunguka zungukaaa eeeeeeenh!
Walisema hawarudiaaan mbn wamekuwa maswiiti
Zunguka zunguka zunguka zunguka eeeeeeee!
 
Last edited by a moderator:
zunguka zunguka zunguka zungukaaa eeeeeeenh!
Walisema hawarudiaaan mbn wamekuwa maswiiti
Zunguka zunguka zunguka zunguka eeeeeeee!

Mwalimu hii maiti nani kaifufua tena? Hataki wanetu wasome?
 
Back
Top Bottom