Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

I know it hurts. ..but nimeyavumilia mengi ya huyu jamaa na yeye kaongopa sikumfuma na hao wanawake bar ilikuwa kwenye room yake mi sio chizi nianze kurusha makonde bar
Oooh!!! Pole.
Ila bado yanaongeleka,wanaume wa kibongo michepuko kama ibada tu!!
Msimwage mchele kwenye Kuku wengi itaneni chamber myaongee mkilisongesha kheir,ikishindikana kabisa siri yenu pia.
 
Tatizo mnamikia ya kupepea,hela ndo zinawabeba.
Kampata mbishi anaejua kusmamia show,unafkiiri kuna nn tena?!
 
Wanishirikishe mie tu, naapa wakinitenga nitafanyiwa upasuaji wa koo la umbea.

Oooh!!! Pole.
Ila bado yanaongeleka,wanaume wa kibongo michepuko kama ibada tu!!
Msimwage mchele kwenye Kuku wengi itaneni chamber myaongee mkilisongesha kheir,ikishindikana kabisa siri yenu pia.
 
Ni bora angekuwa amekaa tu
Nisinge mind hata kidogo
Rapunzel tumalize hii issue
Ni Kweli bado unanihitaji niwe nawe?
hata Kama hutojibu hapa let's talk on the phone
nakupigia ss hivi
 
Last edited by a moderator:
Team Samehe Lambogini at wek

 
Nataka ila naona aibu hadharani (SOrry Rappie, bora nivae tu uhusika kwa muda, naona unanichelewesha kujibu)
Nipe muda wa kutafakari, piga baada ya masaa mawili, sasa hivi niko kwenye milk therapy.



Hivi huingiwi na iani tu?

Rapunzel tumalize hii issue
Ni Kweli bado unanihitaji niwe nawe?
hata Kama hutojibu hapa let's talk on the phone
nakupigia ss hivi
 
Ujue kaka yangu Lambogini amewekeza moyo wake kwako? (sijui hata lini undugu huu umeanza)


Asante dada yangu Kongosho ukaka na udada umeanza leo hesabu una zawadi yako toka kwangu kwa kunisimamia kidete
Nampigia simu tumalize huu mchezo ndio nitajua Kama bado ananipenda au la
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…