Aziz Ki Mayele
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 899
- 1,955
Mzumbe kule wapo mkuuTutachekiana wkeend Mkuu.
Sema sasa hivi watoto wa SUA, MZUMBE, JORDAN si wamefunga vyuo Mkuu?
Maana hao ndiyo huwa wanapafanya panapendeza sana bumu likichelewa!
Sasa mambo ya single mother au kulelewa na single mother yanahusika vipi na hii story?? Ina maana wewe umezaliwa nje ya ndoa au umelelewa na single mother ndo mana una roho mbaya kwa wanawake, au mama yako alipokuzaa alikutupa ukalelewa na ndugu??? Sijakuelewa.Hahaahhah
Bila shaka na wewe utakuwa single mother au wewe ni mtoto wa single mother!
Serious talk mkuuHey are serious??
Hapana.Sasa mambo ya single mother au kulelewa na single mother yanahusika vipi na hii story?? Ina maana wewe umezaliwa nje ya ndoa au umelelewa na single mother ndo mana una roho mbaya kwa wanawake, au mama yako alipokuzaa alikutupa ukalelewa na ndugu??? Sijakuelewa.
We umeona m nmefanya ufala Kama huo?Ila sikuzidi wewe Mkuu
hahahahahahah nimeipenda hiiiKwahiyo Ulijiona mjaaanja?
Anna alishakusameh me nilimpa rift ni mke wangu saiv.
Tatizo nyie ving'ang'anizi sana.Sio siri nmetafuta tusi jipya la kukupa sioni,ila tu Mungu anakuona,inasikitisha sana sanaaa,leo hii bila aibu kabisaaa eti unaomba akutafute kweli kabisaa, kwann mnapenda kuchezea mioyo ya wenzenu jaman, kwann kwann,hv kweli unamtelekeza mtu katoka mbali kote na usikute hakuwa na ndugu, ubinadamu wenu uko wapi jaman
IMENIUMA SANA KAMA VILE NDO MM NLOFANYIWA
haaaaaaaa, sasa si ndo ameomba ushauri afanyeje?Tatizo nyie ving'ang'anizi sana.
Unaambiwa kwa ishara kuwa haupendwi bado huelewi nini kifanyike ili uwe muelewa vitendo tu.
Samahani kama nitakuudhi
mbeziiiii??😵😵😵 ndugu umepoteaa aseeKwani yule mdogo wako aliyekuwa anasoma pale mbezi hajaenda?
Msalimie sana.