Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Kuna viumbe makatili sana acha rafiki!Kwenye mahusiano kuna manyanyaso mengi sana
Imagine mtu anayekuvulia chupi unamsave jina kama hilo!anagundua hilo na wewe bado hutafakari hisia zake bali nyege zako
Kafunga safari toka mbali kakufuata...achana na yote ya ugomvi alihitaji nauli kama mhitaji mwingine yeyote yule
Kuna watu mna roho ngumu sana mimi nisingeweza kufanya huu unyama