Ashasema yeye ni mwanaume wa Moro.Hata huyu kwani mwanaume wa Dar?
Mkuu una maneno mengi kama mtoto wa mchepuko wanguDuhh!!!!..wewe ni zaidi ya Al-shabab aisee.....unastahili kufanywa lolote baya paka wa kizungu wewe usiyetaka kula vibichi,unaetaka ulale kitandani,unaetaka unye kwenye unga...halafu wewe.
Ni kwa sababu siku zingine ulikuwa ukinipa vizuriMbona mie nishawahi kumyima mtu papuchi tena kwake nyumbani kwake na wakati wakuondoka japo alikasirika ila alihakikisha nafika home na hela alinipa ya kutosha huku anacheka japo kua tokea sikuile hakunipigia wala
Sikutaka kubembeleza sana maana baada ya kuzingua pale pale nikamcheki mtoto mwingine anaitwa WARIDI alikuwa anasoma Jordan University nikaenda kupunguza maumivu ya kunyimwa papuchi Mkuu!Nakufundisha Kijana:
Kiuanaume kwanza ungejiuliza ni kwanini amekunyima? Hapo ungegundua kosa ni lako wewe kumwita mzinguaji wakati keshaingia hadi chumbani.
PILI, ungekaa naye umbembeleze alainike upige mzigo...na nauli umpe ya kutosha tu.
Words!Tabia za kusave wasichana majina kama haya ni kwa wanaume sote ila wenzio huwa tunayaweka sawa kila tunapowakaribia walengwa(edit hilo jina na kuweka my lovely wife).
Ila wewe Jamaa ni katili mno ,wanawake ni viumbe dhaifu sana hutakiwi kuwatreat hivyo.Kwanza amekukasirisha kwa kutokupa ulichotaka lakini kutokana na mapungufu yake ameona wewe bado ni msaada kwake,huoni kama ulimweka katika mazingira hatarishi sana?
Shame On You Brother.
ukacheat na bado ukamnyima nauli... we nomaSikutaka kubembeleza sana maana baada ya kuzingua pale pale nikamcheki mtoto mwingine anaitwa WARIDI alikuwa anasoma Jordan University nikaenda kupunguza maumivu ya kunyimwa papuchi Mkuu!