Nisamehe popote ulipo

Mshamba tuu wee..uliona ufahar kumwacha stand
Bila shaka ni wewe..

Please nisamehe ANNA ingawa unajiita humu Mamumunya2015.

Nashukuru nimekujua ila nimemisi bwawa lako.. Anna( Mamumunya2015)
 
Ushauri mzuri Heaven Sent,ndiyo maana nakupenda sana.

Tafuta comment ya MSHANA JR.

Nilichokiandika pale ndiyo utajua kati ya Mimi na ANNA nania alikuwa muuaji.
Tuliza ball dogo...

Nani kakuruhusu kumpenda geniveros wangu??

She is mine, and only mine.

You have been warned!!
 
Niko vizuri kiongozi... kama vipi ongea nami nikuazime atoto kwa muda...

Kanafaa kulumangia
Hahahahah

Umelenga penyewe mkuu. Maana yupo kwenye target zangu.

Itakuwa murua sana.

Popote ulipo Atoto unaombwa usogee hapa.
 
Daaah! Sijui Kwanini umenikumbusha hii, mpaka machozi nilitoa na kuapa kutomtafuta lakini baada ya siku 2 nikarudisha majeshi na baada ya hapo ********
 
Daaah! Sijui Kwanini umenikumbusha hii, mpaka machozi nilitoa na kuapa kutomtafuta lakini baada ya siku 2 nikarudisha majeshi na baada ya hapo ********
Pole sana
 
Kuna mdau mmoja jana alisema shule zimefungwa tutegemee post za ki**** wiki nzima hii yaan tukio ulilofanya ni kivulana!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…