kheee haya![]()
![]()
![]()
Ila nilikuwa nishaizoea sana mamii.
mkuu katika kitu ambacho nimejaliwa nikukaa kimyaHahahahah
Sio kweli nyie mkipanic ni shida.
ha haha usije kuniacha airport akuBasi unanifaa Mkuu.
Nimekupenda bure!
Mkuu nawanyoosha kweli sina utani wa kubembeleza mwanamke.Dawa ya jeuri, kiburi.
Safi sana kwa kumnyoosha huyo binti.
yah nitalia sana ila nitakuchuna sana pia hasa ukijifanya unaomba msamahaHuwezi fanya lolote mbali na kulia tu.




Safi sana, hawa viumbe ukiwachekea wanakuua huku unaangalia.Mkuu nawanyoosha kweli sina utani wa kubembeleza mwanamke.
Huo ukatili wamenifundisha wao Mkuu nakumbuka kipindi nikiwa second year niliwahi kumpeleka mchuchu mmoja hivi mwenge akafanya shopping moja hatari ila cha ajabu after two Weeks akinipiga kibuti kisa naenda club bila kumuaga au kwenda nae.
Niliumwa ghafla kila nilipokuwa nakumbuka mtonyo wangu Mkuu.
Tangia hapo ni kuwanyoosha tu Mkuu.
Thanks Mkuu.Hebu fikiria mtu ametoka dar mpaka moro kwa sababu yako,na kabla ya yote nadhan alikueleza hatakua na nauli ya kurudi dar ila ww kwa uchu wako wa kisefenge ukamwambia usohofu,bahati nzuri binti wa watu ana misimamo yake amekuta umemsave jina la ajabu ajabu anataka ajue ni kwanin umemsave hivyo akitegemea ww ni my husband wake to be ww unazira,okay amesimamia msimamo wake hakupi papuchi na anataka arudi dar hana nauli ,ukiwa kama mwanaumme aliekamilika ulitakiwa umpatie nauli aondoke matokeo yake umeenda kumtelekeza stand halafu leo unakuja kueleza upumbavu wako hapa,huna hata aibu mshenzi ww
![]()
ha hahaha sijui nikujaribu ha hahahaha au nitajijaribu ? mweeeeeHahahah
Unichune tena?
Nina mbinu hatari sana hata kuchuna utashindwa.