Nisamehe popote ulipo

Nisamehe popote ulipo

ULIFANYA KITENDO CHA UZARIRISHAJI SANA MZEE MWENZANGU....EBU PATA PICHA KAMA WEWE NDIO UNGEFANYIWA HIVYO UNGEJISIKIAJE? NIJUAVYO MIMI KILA ALITENDALO MJA HUMRUDIA ULICHOKITENDA KWA HUYO BINTI LAZIMA KITAKURUDIA TU NA WEWE.
 
ha hahaha sijui nikujaribu ha hahahaha au nitajijaribu ? mweeeee
Usinijaribu Miss Chagga.

Njoo tuyajenge tutaelewana mamii.

Akili za ujana zilikuwa zinasumbua.

Now nimekomaaa sana kiakili na kila kitu.

Utalelewa kama yai la bata...miss chagga.
 
ULIFANYA KITENDO CHA UZARIRISHAJI SANA MZEE MWENZANGU....EBU PATA PICHA KAMA WEWE NDIO UNGEFANYIWA HIVYO UNGEJISIKIAJE? NIJUAVYO MIMI KILA ALITENDALO MJA HUMRUDIA ULICHOKITENDA KWA HUYO BINTI LAZIMA KITAKURUDIA TU NA WEWE.
Wao wenyewe walinifundisha Mkuu.

Nilishawahi mpenda binti mmoja hivi akazingua akapelekea niwe hivo.
 
USILIPE UBAYA KWA UBAYA....
Yah ni kweli Mkuu.

Hata huyu alifanya mambo yake ambayo siyo mkuu.

Alitaka kuondoa maisha yangu kwa kupiga kelele za mwizi. Isingekuwa ni watu walikuwa wananifahamu Leo hii nisingekuwepo Mkuu.
 
Ulikosea, ulikosea sanaa... Ungeongea nae vizuri ungefanikisha hitaji lako na usingefikia hapa leo... Mwanamke hua hatumkomoi, shez an asset in nature so...muache utoto wadogo zangu mukue GENTLEMAN TEST COUNT.
 
Kuna mdau mmoja jana alisema shule zimefungwa tutegemee post za ki**** wiki nzima hii yaan tukio ulilofanya ni kivulana!!!!
 
Ulikosea, ulikosea sanaa... Ungeongea nae vizuri ungefanikisha hitaji lako na usingefikia hapa leo... Mwanamke hua hatumkomoi, shez an asset in nature so...muache utoto wadogo zangu mukue GENTLEMAN TEST COUNT.
Hahahahahhhh

No comment brother!!
 
Story yako iliendelea..dk ya 89 baaako napita maeneo ya stand namuona mtoto mkalii amejikunyata..

Dada mambo...poa samahani naomba niulize swali....nikajichukulia kiulaaani..nikamtawanya..asubuhi nikampakia akarudi dar.

Nimemega had alipoolewa juzi juzi
 
Back
Top Bottom