Mbona Mimi enzi zangu nshatapeliwa Sana? Sijawahi kulipiza kisasi hata siku moja! Umeenda Mpaka hotelini uko nae na Mlikua mmeshaongea about a week or so na hio promise katoa yeye mwenyewe, mnafika mnachukua na kulipia room, mnaingia mnafika, unAjiandaa, unaanza utundu wako. Ghafla mwenzio anabadilika kama vile haelewi. Unabembeleza weee Matokeo yake unakua una buy time mtoke ili usionekane hujapewa. Si unajua kujishuku? Ukianza kuvaa nguo ili muagane anakujulisha kuwa hana nauli! Halafu kuna ile Pesa aliyokuomba kuna "vitu " anataka akanunuae! Dah, kiunyonge Sana unampa anakwambia haitoshi! Unajizuia usipandwe hasira, una mpa kisha hasemi hata asante. Mnavyotoka anakuomba ukamuache kituoni, unampakia, kwenye gari hamuongei, anakuuliza,. Mbona umenuna? Anakuomba msamaha kisha anaku promise next time!! Hahaahhaha unajiuliza, huyu mtu ni binadamu au jini? Ila huwa hatulipizi visasi, hio ndio maturity ya kiume na Law ya Hunter, amekosa leo, atapata kesho. No extra fighting,