Nisamehe MWALIMU sirudii tena


MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Messages
7,839
Likes
87
Points
145
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2009
7,839 87 145
Unyanyasaji
 
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Messages
14,465
Likes
6,760
Points
280
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined Mar 14, 2012
14,465 6,760 280
Sipendi kumuona mtoto analia au kusikia sauti ya kulia...they r like angels wanatia huruma kwa kqeli
 
MC RAS PAROKO

MC RAS PAROKO

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Messages
477
Likes
284
Points
80
MC RAS PAROKO

MC RAS PAROKO

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2013
477 284 80
Mh unyanyasaji kabisa huu yaani mwalimu anamcharaza fimbo bila ata idadi
 
N

Ngekewa

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2008
Messages
7,725
Likes
28
Points
145
N

Ngekewa

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2008
7,725 28 145
Mh unyanyasaji kabisa huu yaani mwalimu anamcharaza fimbo bila ata idadi
Kilichokujuulisha hivyo ni nini, mbona ni mambo tuliyoyapitia na kwa namna moja yalisaidia.
 
N

Ngekewa

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2008
Messages
7,725
Likes
28
Points
145
N

Ngekewa

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2008
7,725 28 145
Sipendi kumuona mtoto analia au kusikia sauti ya kulia...they r like angels wanatia huruma kwa kqeli
Ni kweli lakini haja hushinda hiyo huruma, sijui kama ulishawahi kulea, usiape kuwa hutofanya hivyo.
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,068
Likes
5,282
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,068 5,282 280
aiseeeeeeee adhabu ya viboko bado ipo?
 
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,959
Likes
969
Points
280
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,959 969 280
hapo in moja ya elimu; bila viboko nidhamu na adabu haviendi....!
 
galindas

galindas

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
982
Likes
1,163
Points
180
galindas

galindas

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
982 1,163 180
Hiyo tunaiita kadeble. Ndio dawa ya mtoto mkorofi.
 
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Messages
7,627
Likes
2,016
Points
280
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2009
7,627 2,016 280
Kulikuwa na mwalimu wetu mmoja wakati huo ukiomba msamaha wakati anakuchapa anakwambia hivi ninavyokuchapa ndio kukusamehe kwangu nadhani tofauti na hapo angeua kabisa
 
kigimbii

kigimbii

Member
Joined
Jun 1, 2013
Messages
5
Likes
0
Points
0
kigimbii

kigimbii

Member
Joined Jun 1, 2013
5 0 0
Eeh bwanaee nilisha pigwa fimbo nyingi sana yani mpka na A level pia.unachapwa fimbo mpka unasikia kitcha kinataka kupanda.
 

Forum statistics

Threads 1,274,530
Members 490,721
Posts 30,515,416