Nisaidieni wana mmu

Nisaidieni wana mmu

pole sana ila fata ushauri kama walivyokwambia wenzangu waliotangulia.
 
Wife hebu njoo huku....

Pole sn kaka kwa kifupi mwanamke hufiki alipo hana uwezo wa kuanalia alipotoka au anakokwenda cha muhimu fanya mambo yako asikupotezee muda piga chini fanya maendeleo acha stress za mapenzi mbona samaki wengi baharini...sikiliza wimbo wa single boy by alikiba
 
pole sana ila fata ushauri kama walivyokwambia wenzangu waliotangulia.

yeah ndugu, kuanzia sasa nimekua na amani kutokana na ushauri wenu stress zinaondoka sasa, soon i'll be somebody else im sure.
 
kabla sjarusha hii thread niliongea nae kwa simu kama kawaida nikamwambia nataka nje nikutembelee akajibu sawa karibu ntafurahi sana coz nimeku-miss and all that.

WEWE nawe hata haushauriki- hapa umeshauriwa just go as a suprise and watch how easy or uneasy she will be knowing you are around by suprise. Mara hapa unasema ooh nimemwambia.

They say love is blind-BUT PLEASE love with your eyes wide open. If someone says poa in return to I love you- you better analyse it , its either she doesnt love you and is just scared to tell you or she has another person thus saying I love u to 2 people is Odd.

SO amua mwenyewe kusuka au kunyoa when you are still young.
 
Usipoteze muda, muweke pending. Tafuta mwingine ambaye atautuliza moyo wako. Wengi hatujui thamani ya kupendwa,ukiona unapendwa basi unajiona cake. Anayekupenda huwa hana vituko vyote hivyo, anza kuishi kama vile hayupo, utaona furaha yako iliyopotea inarudi.
 
thanx kwa ushauri wako ndugu
 
acha ufala wewe unatunza wenzako wanatoboa bure bure , eti unajifarije kuwa utakuwa wa kwanza kula mzigo. kwa taarifa yako utaambulia makombo tu.

suluhisho; achana naye , au muandalie mazingira umle kimeno jambazi wa mapenzi huyo.
 
Inaskitisha hujaelewa ushauri bado! ACHANA NAE, BIKRA KI2 GANI, UYO ANAJUA UMEINGIA KICHWA KICHWA anakugeuza tu kama CHAPATI! Kumbuka WAJINGA NDIO WALIWAO. Mschana kama hakupend utamjua 2, tena ww unabahati coz kakuonesha ISHARA NYINGI TU.
Ebhanaee ni mtazamo 2!
 
Hujambo Da Sophy?
Acha vijana wapendane bwana. Biashara ya ngono tufanye sie vikongwe manake maji yanakuwa yashazidi unga na moto.

Sijambo alhamdulillahi.
Huku nahusikaje? Nishamaliza hatua hii kitambo, sasa nalea na mmoja yuko shule tayari. Wa biashara ya ngono muogopeni Allah mwezi mtukufu huu jamani.
 
mwezi wa toba ukiisha tu hakikisha huyo mume wa mtu katia mimba ingine. ama kesharudi kwa mkewe? unammisije sasa maskini? Cc snowhite, Kongosho
Sijambo alhamdulillahi.
Huku nahusikaje? Nishamaliza hatua hii kitambo, sasa nalea na mmoja yuko shule tayari. Wa biashara ya ngono muogopeni Allah mwezi mtukufu huu jamani.
 
Last edited by a moderator:
mwezi wa toba ukiisha tu hakikisha huyo mume wa mtu katia mimba ingine. ama kesharudi kwa mkewe? unammisije sasa maskini? Cc snowhite, Kongosho

Kwavile umetaka kujua nitakujuza. Niko nae anajifunza kufunga, jioni twafuturu pamoja. Allah atamwongoza njia ya haqqi na ipo siku atasilimu inshaallah.
 
kwani mmeshafunga ndoa? kumfuturisha mume wa mtu sio dhambi? Na ina maana hamkurubiani?Asante kwa kunielewesha. na mie ukinialika futari inshaallah nnaweza silimu.
Kwavile umetaka kujua nitakujuza. Niko nae anajifunza kufunga, jioni twafuturu pamoja. Allah atamwongoza njia ya haqqi na ipo siku atasilimu inshaallah.
 
Back
Top Bottom