Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Hizi bikira zitawaponza
Wife hebu njoo huku....
Hizi bikira zitawaponza
Pole sana ndugu kwa yanayokusibu na ninakupa pole nyingine kwakuja kuikosa bikra original unayoisubiria na kukutana na bikra ya kichina baadae..........!!!
Bytheway kuna kila dalili ya mpenzio kukucheat, hivyo visingizio vyake wala havina hata maana............ Eti yupo saloon, na marafiki masikio yanauma....... Kaah!!! Kaah!!!!!! Hebu shtuka ndugu utakuja kosa mwana na maji ya moto......!
Hicho kilio si kwamba analia eti kwasababu anakupenda, analia kwasababu atakosa msaada wako wa kifedha.
Pia hebu jaribu kuwakimya kidogo usimpigie wala kumtext kwa muda mpaka yeye atakapo kutafuta uone ata act vipi.
Pole kaka yangu ww utauziwa ngombe kwenye gunia huyo dem wako anammegwa na mtu mwengine,ww unawekwa spea tairi tu unatumiwa kama kitega uchumi!Asikudanganye mtu kama mtu unampenda hakuna kitakachokuweka busy ushindwe kuongea na mpenzi wako kwahio hapo mapenzi kwishnei!Fuata ushauri wa wadau wengine msurprise au mchunie!Mimi ni kijana mwenye umri wa 27 mnamo mwaka 2010 nilikutana na binti ambaye nilitokea kumpenda sana, ila kwake ilikua ngumu kunielewa lengo langu, siku zilivo zidi kwenda akawa ananielewa, 2011 akaniambia hayuko tayari kushea sex kwan alikua chuo mpaka malengo yake yatime, kwangu haikua ngum kwani nilimpenda sana tukaendelea vizuri 2012 akahitimu cheti chake cha ualimu, kwa kipindi chote tulikua tunachati vizuri na mhudumia kadri ya uwezo wangu,baada ya kuhitimu mwaka jana akawa home kwao tuliendelea vizur bila mgegedo wowote nilijitahid kua mwaminifu sana coz yeye mwenye aliniambia bado yuko bikra so kama na malengo na yeye niwe mvumilivu, tatizo ilianza matokeo yalipo toka mwenzangu akapangiwa mwanza alipo ondoka nikawa nampa sapoti ya kifedha kidogo na mawasiliano yalikua mazuri ila baada ya miez miwili mambo yakabadilika nikipiga simu anakata then anatuma text nipo na wenzangu subiri nifike home ntakutafuta hii hali ikazidi ikaanza kunipa wasi wasi nikimuuliza inakuaje hupokei simu ukiwa na wenzako anakua mkali wakati mwingine nikimtext hajibu chochote nikimwambia neno I LOVE U anasema POA nikimuuliza inakuaje umebadilika anajibu kwani wewe UNAONAJE nikimuuliza nini tatizo hataki kuniambia anasema namchosha na maneno hayo hayo yani neno I LOVE U wakati mwingine anani-text I LOVE U DADY kweli na stress sana ilifika mahali nikamwambia tuachane kwenye simu alilia sana akesema nimempotezea mda na bado ananipenda sana nikarudisha moyo, lakina bado hiyo tabia inaendelea mpaka sasa nimemsaidia sana kwa kila kitu, kuna wakati naelewa kabisa yuko home alikopanga nikimpigia anapokea anaongea kidogo anakata nikipiga ana-text niko bize mara niko saloon siwezi ongea na simu mbele za watu sasa hii kitu inanitatiza sana maana usiku tu ndo huwa tunaweza ongea kuanzia saa tatu mpaka hata saa sita usiku na asubuhi huwa namuamsha mapema kwa kwenda kazini, yeye ni binti wa miaka 22 na maelezo yake nikuja kuishi na mimi coz nimemvumilia na mimi ndo chaguo lake na anataka niwe mwanaume wa kwanza kuutoa usichana wake jamani nipo njia panda naombeni msaada wenu na konda kwa mawazo kila siku niliomba nimtambulishe home kwetu akakataa kwamba yeye bado mdogo so nisuburi after 3 yrs atakua tayari coz anajipanga kwanza, wakati mwingine nikipiga simu anasema masikio yana muuma so tuongee baadae baada ya hapo nikimpigia simu yake inakua bize hata nusu saa nikimuuliza anasema anaongea namarafiki zake mara mama yake, jamani nisaidieni nifanyaje coz mimi mwenyewe niko mkoa mwingine na nampenda sana sijawahi saliti penzi lake hata cku moja na usiku ananihimiza sana kusali kabla ya kulala, na maswali mengi yasio na majibu kichwani mwangu. MSAADA NDUGU ZANGU
Pole kaka yangu ww utauziwa ngombe kwenye gunia huyo dem wako anammegwa na mtu mwengine,ww unawekwa spea tairi tu unatumiwa kama kitega uchumi!Asikudanganye mtu kama mtu unampenda hakuna kitakachokuweka busy ushindwe kuongea na mpenzi wako kwahio hapo mapenzi kwishnei!Fuata ushauri wa wadau wengine msurprise au mchunie!
Mimi ni kijana mwenye umri wa 27 mnamo mwaka 2010 nilikutana na binti ambaye nilitokea kumpenda sana, ila kwake ilikua ngumu kunielewa lengo langu, siku zilivo zidi kwenda akawa ananielewa, 2011 akaniambia hayuko tayari kushea sex kwan alikua chuo mpaka malengo yake yatime, kwangu haikua ngum kwani nilimpenda sana tukaendelea vizuri 2012 akahitimu cheti chake cha ualimu, kwa kipindi chote tulikua tunachati vizuri na mhudumia kadri ya uwezo wangu,baada ya kuhitimu mwaka jana akawa home kwao tuliendelea vizur bila mgegedo wowote nilijitahid kua mwaminifu sana coz yeye mwenye aliniambia bado yuko bikra so kama na malengo na yeye niwe mvumilivu, tatizo ilianza matokeo yalipo toka mwenzangu akapangiwa mwanza alipo ondoka nikawa nampa sapoti ya kifedha kidogo na mawasiliano yalikua mazuri ila baada ya miez miwili mambo yakabadilika nikipiga simu anakata then anatuma text nipo na wenzangu subiri nifike home ntakutafuta hii hali ikazidi ikaanza kunipa wasi wasi nikimuuliza inakuaje hupokei simu ukiwa na wenzako anakua mkali wakati mwingine nikimtext hajibu chochote nikimwambia neno I LOVE U anasema POA nikimuuliza inakuaje umebadilika anajibu kwani wewe UNAONAJE nikimuuliza nini tatizo hataki kuniambia anasema namchosha na maneno hayo hayo yani neno I LOVE U wakati mwingine anani-text I LOVE U DADY kweli na stress sana ilifika mahali nikamwambia tuachane kwenye simu alilia sana akesema nimempotezea mda na bado ananipenda sana nikarudisha moyo, lakina bado hiyo tabia inaendelea mpaka sasa nimemsaidia sana kwa kila kitu, kuna wakati naelewa kabisa yuko home alikopanga nikimpigia anapokea anaongea kidogo anakata nikipiga ana-text niko bize mara niko saloon siwezi ongea na simu mbele za watu sasa hii kitu inanitatiza sana maana usiku tu ndo huwa tunaweza ongea kuanzia saa tatu mpaka hata saa sita usiku na asubuhi huwa namuamsha mapema kwa kwenda kazini, yeye ni binti wa miaka 22 na maelezo yake nikuja kuishi na mimi coz nimemvumilia na mimi ndo chaguo lake na anataka niwe mwanaume wa kwanza kuutoa usichana wake jamani nipo njia panda naombeni msaada wenu na konda kwa mawazo kila siku niliomba nimtambulishe home kwetu akakataa kwamba yeye bado mdogo so nisuburi after 3 yrs atakua tayari coz anajipanga kwanza, wakati mwingine nikipiga simu anasema masikio yana muuma so tuongee baadae baada ya hapo nikimpigia simu yake inakua bize hata nusu saa nikimuuliza anasema anaongea namarafiki zake mara mama yake, jamani nisaidieni nifanyaje coz mimi mwenyewe niko mkoa mwingine na nampenda sana [SUP] sijawahi saliti penzi lake hata cku moja [/SUP] na usiku ananihimiza sana kusali kabla ya kulala, na maswali mengi yasio na majibu kichwani mwangu. MSAADA NDUGU ZANGU
Hivi siku hizi na ma tv, ma jf, ma facebook, ma twitwer, na mazagazaga yote ya dunia ya kisasa kuna vijana mnakubali kutapeliwa kirahisi namna hiyo?!!! Hivi mnataka tuongee lugha gani ili muelewe kuwa mwanamke anayekuambia eti ana bikra, sijui ana malengo, sijui yeye mdogo na upuuzi mwingine huku ukimpa ela anapokea ni tapeli?!!! Kudadadeki zenu nyie endeleeni kijifanya mnajua kukea, watoto wa wachungaji... Mtachunwa vibaya, na mwisho wa siku mtabwagwa mnywe sumu...Mimi ni kijana mwenye umri wa 27 mnamo mwaka 2010 nilikutana na binti ambaye nilitokea kumpenda sana, ila kwake ilikua ngumu kunielewa lengo langu, siku zilivo zidi kwenda akawa ananielewa, 2011 akaniambia hayuko tayari kushea sex kwan alikua chuo mpaka malengo yake yatime, kwangu haikua ngum kwani nilimpenda sana tukaendelea vizuri 2012 akahitimu cheti chake cha ualimu, kwa kipindi chote tulikua tunachati vizuri na mhudumia kadri ya uwezo wangu,baada ya kuhitimu mwaka jana akawa home kwao tuliendelea vizur bila mgegedo wowote nilijitahid kua mwaminifu sana coz yeye mwenye aliniambia bado yuko bikra so kama na malengo na yeye niwe mvumilivu, tatizo ilianza matokeo yalipo toka mwenzangu akapangiwa mwanza alipo ondoka nikawa nampa sapoti ya kifedha kidogo na mawasiliano yalikua mazuri ila baada ya miez miwili mambo yakabadilika nikipiga simu anakata then anatuma text nipo na wenzangu subiri nifike home ntakutafuta hii hali ikazidi ikaanza kunipa wasi wasi nikimuuliza inakuaje hupokei simu ukiwa na wenzako anakua mkali wakati mwingine nikimtext hajibu chochote nikimwambia neno I LOVE U anasema POA nikimuuliza inakuaje umebadilika anajibu kwani wewe UNAONAJE nikimuuliza nini tatizo hataki kuniambia anasema namchosha na maneno hayo hayo yani neno I LOVE U wakati mwingine anani-text I LOVE U DADY kweli na stress sana ilifika mahali nikamwambia tuachane kwenye simu alilia sana akesema nimempotezea mda na bado ananipenda sana nikarudisha moyo, lakina bado hiyo tabia inaendelea mpaka sasa nimemsaidia sana kwa kila kitu, kuna wakati naelewa kabisa yuko home alikopanga nikimpigia anapokea anaongea kidogo anakata nikipiga ana-text niko bize mara niko saloon siwezi ongea na simu mbele za watu sasa hii kitu inanitatiza sana maana usiku tu ndo huwa tunaweza ongea kuanzia saa tatu mpaka hata saa sita usiku na asubuhi huwa namuamsha mapema kwa kwenda kazini, yeye ni binti wa miaka 22 na maelezo yake nikuja kuishi na mimi coz nimemvumilia na mimi ndo chaguo lake na anataka niwe mwanaume wa kwanza kuutoa usichana wake jamani nipo njia panda naombeni msaada wenu na konda kwa mawazo kila siku niliomba nimtambulishe home kwetu akakataa kwamba yeye bado mdogo so nisuburi after 3 yrs atakua tayari coz anajipanga kwanza, wakati mwingine nikipiga simu anasema masikio yana muuma so tuongee baadae baada ya hapo nikimpigia simu yake inakua bize hata nusu saa nikimuuliza anasema anaongea namarafiki zake mara mama yake, jamani nisaidieni nifanyaje coz mimi mwenyewe niko mkoa mwingine na nampenda sana sijawahi saliti penzi lake hata cku moja na usiku ananihimiza sana kusali kabla ya kulala, na maswali mengi yasio na majibu kichwani mwangu. MSAADA NDUGU ZANGU
Achana nae hakufai huyo!
hata mm mwanaume nikimchoka nakuwa kama huyo! tafuta mwingine atazidi
kukupotezea muda!
Aisee we ni zobaa sijawah kuona?! Unahudumiaje dem wakati hata mzigo haujapiga?? Kwa jinsi ninavyowafahamu hawa viumbe wa kike lazima hapo kuna mtu anamega kisela, alafu wewe kazi yako ni kuhudumia tu.
mi nna principle yang moja japo ngumu ila huwez juta. Pale unapoona dem anaanza kukuumiza kichw bado hujaoa, piga chin faster hata kama mna wiki 1, au hata kama umefall vipi kwa sababu ukiendelea kuvumilia siku moja utashindwa kujinasua lengo la mapenzi ni kufurahi kama sio kimbia faster
NB: Hata siku moja bikira hajitambulishi, utajionea mwenyewe siku ya tukio
dah! yaani kijana umepoteza miaka 3 ya ujana wako bila kuchovya! ndio maana stress inakuzidi na kusababisha ubongo kutofikiri vyema ili kutatua hili jambo dogo. hebu kwanza tafuta binti wa kushughulika nae na utamsahau huyo wa mwanza anaekuzingua.
Huwa nafsi yangu inasikitika sana ninaposikia kijana mwenzangu anaumia kwa ajili ya mapenzi. jamani its easy kwanini akupotezee muda wa kufikiria mambo yako kwa ajili ya maisha yako mwenyewe. njia rahisi>>>>>wasichana wako wengi hivyo piga chini tafuta mwingine>>>>>au mchunie mpaka atakapojirudi asipofanya hivyo iwe ndo moja kwa moja>>>>ningekushauri njia kama yangu ila nadhani huiwezi!... single boy by ali kiba ndo mpango mzima, siku hizi bana inatakiwa demu mkipata mnamalizana hapohapo kila mtu anajua zake mambo ya kupeana stress hakuna.