Nisaidieni wana mmu

Nisaidieni wana mmu

Pole, naona dalili za manyoya. Mchunie mwezi mzima, akipiga wala usipokee uone kama atakuhangaikia.

Ukiona hahangaiki jua wewe si wa moyoni, ni wa mfukoni tu. Ukiona anahangaika jua huyo aliyenaye huko Mwanza ni mshika mapembe tu, anakusaidia kulea ila wewe ndio muwojaji.

Cha msingi, je mko wangapi?

Nimeupenda ushauri wako.nimzuri sana maana kama unampigia m2 cm alafu analeta bozi nibora umpotezee.
 
Yale yale jaman kashindwa adam hawa viumbe hata mungu keshasema tuishi nao kwa akili sana asubuh maraika jion shetani jipange tena piga chini badilisha namba yako niwajinga tena mungu amekusaidia hicho ki cent urichompa fanya kama umesaidia yatima bhaaaaassss tupa kule asije kuua bure.
 
Lady doctor,

Umetoa ushauri mzuri sana, lkn wasiswasi wangu ni kuwa uliyempa huo ushauri anaonekana hazimtoshi. With all vitimbi aliyoeleza kwenye thread yake bado anaomba ushauri badala ya kuamua kuachana na huyo binti msanii? Nachukia watu wenye akili nzito namna hii! Ni mzigo kwa jamii.

me mwenyewe namshangaa ameshaonyeshwa trela anajifanya picha haijui ngoja sasa aje achezewe movie kamili.... Ndipo atakapo tia akili
 
Mapenzi ya simu sitoweza...
Kama unipendi niambie....
 
mkuu wala usipoteze pesa yako kwenda mwanza coz unaweza patwa na mshituko huko ukafa kwa presha ukawapa tabu wazazi wako kukutafuta, cha msingi usimpigie simu wala kumtumia sms kwa japo wiki moja.kama ukiona naye amekausha basi piga chini na usirudi nyuma. kama atakutafuta basi endelea nae ila mpe onyo kali kuhusu hizo tabia zake na umuweke kwenye probation.
 
dah kweli kaka nilikua nawaza kwenda mwanza coz yuko huru kabisa kanikaribisha ila ndo hivo vitabia tu kaka.
 
dah kweli kaka nilikua nawaza kwenda mwanza coz yuko huru kabisa kanikaribisha ila ndo hivo vitabia tu kaka.

kabla sjarusha hii thread niliongea nae kwa simu kama kawaida nikamwambia nataka nje nikutembelee akajibu sawa karibu ntafurahi sana coz nimeku-miss and all that.
 
Matatizo ya kuanza mapenzi ukubwani Hayo.
 
Matatizo ya kuanza mapenzi ukubwani Hayo.

sio kuanza mapenzi ukubwani mzee, ila niile umesha choka sasa unataka wa masha ndo point yangu wengine ilikua poa tu tukitosana ila huyu niliona atakua wife material ndo maana ckua na hofu mwanzo mkuu nielewe hivo.
 
we ushaibiwa.. na dalili zote ziko wazi ila unasubiri. upewe kadi ya mwaliko.

nimpenzi gani anaye wape priority kubwa watu wengine na sio mwenzi wake.

na kwanini ashindwe kuongea nawe mbele za watu.. hivyo mnavyoviongea ni kinyume na sheria.. non sense.

fungua akila na macho yako ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom