Nisaidieni wana mmu

J

Jhung tiao

Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
82
Likes
0
Points
0
Age
32
J

Jhung tiao

Member
Joined Mar 27, 2012
82 0 0
Mimi ni kijana mwenye umri wa 27 mnamo mwaka 2010 nilikutana na binti ambaye nilitokea kumpenda sana, ila kwake ilikua ngumu kunielewa lengo langu, siku zilivo zidi kwenda akawa ananielewa, 2011 akaniambia hayuko tayari kushea sex kwan alikua chuo mpaka malengo yake yatime, kwangu haikua ngum kwani nilimpenda sana tukaendelea vizuri 2012 akahitimu cheti chake cha ualimu, kwa kipindi chote tulikua tunachati vizuri na mhudumia kadri ya uwezo wangu,baada ya kuhitimu mwaka jana akawa home kwao tuliendelea vizur bila mgegedo wowote nilijitahid kua mwaminifu sana coz yeye mwenye aliniambia bado yuko bikra so kama na malengo na yeye niwe mvumilivu, tatizo ilianza matokeo yalipo toka mwenzangu akapangiwa mwanza alipo ondoka nikawa nampa sapoti ya kifedha kidogo na mawasiliano yalikua mazuri ila baada ya miez miwili mambo yakabadilika nikipiga simu anakata then anatuma text nipo na wenzangu subiri nifike home ntakutafuta hii hali ikazidi ikaanza kunipa wasi wasi nikimuuliza inakuaje hupokei simu ukiwa na wenzako anakua mkali wakati mwingine nikimtext hajibu chochote nikimwambia neno I LOVE U anasema POA nikimuuliza inakuaje umebadilika anajibu kwani wewe UNAONAJE nikimuuliza nini tatizo hataki kuniambia anasema namchosha na maneno hayo hayo yani neno I LOVE U wakati mwingine anani-text I LOVE U DADY kweli na stress sana ilifika mahali nikamwambia tuachane kwenye simu alilia sana akesema nimempotezea mda na bado ananipenda sana nikarudisha moyo, lakina bado hiyo tabia inaendelea mpaka sasa nimemsaidia sana kwa kila kitu, kuna wakati naelewa kabisa yuko home alikopanga nikimpigia anapokea anaongea kidogo anakata nikipiga ana-text niko bize mara niko saloon siwezi ongea na simu mbele za watu sasa hii kitu inanitatiza sana maana usiku tu ndo huwa tunaweza ongea kuanzia saa tatu mpaka hata saa sita usiku na asubuhi huwa namuamsha mapema kwa kwenda kazini, yeye ni binti wa miaka 22 na maelezo yake nikuja kuishi na mimi coz nimemvumilia na mimi ndo chaguo lake na anataka niwe mwanaume wa kwanza kuutoa usichana wake jamani nipo njia panda naombeni msaada wenu na konda kwa mawazo kila siku niliomba nimtambulishe home kwetu akakataa kwamba yeye bado mdogo so nisuburi after 3 yrs atakua tayari coz anajipanga kwanza, wakati mwingine nikipiga simu anasema masikio yana muuma so tuongee baadae baada ya hapo nikimpigia simu yake inakua bize hata nusu saa nikimuuliza anasema anaongea namarafiki zake mara mama yake, jamani nisaidieni nifanyaje coz mimi mwenyewe niko mkoa mwingine na nampenda sana sijawahi saliti penzi lake hata cku moja na usiku ananihimiza sana kusali kabla ya kulala, na maswali mengi yasio na majibu kichwani mwangu. MSAADA NDUGU ZANGU
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,078
Likes
392
Points
180
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,078 392 180
Pole, naona dalili za manyoya. Mchunie mwezi mzima, akipiga wala usipokee uone kama atakuhangaikia.

Ukiona hahangaiki jua wewe si wa moyoni, ni wa mfukoni tu. Ukiona anahangaika jua huyo aliyenaye huko Mwanza ni mshika mapembe tu, anakusaidia kulea ila wewe ndio muwojaji.

Cha msingi, je mko wangapi?
 
J

Jhung tiao

Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
82
Likes
0
Points
0
Age
32
J

Jhung tiao

Member
Joined Mar 27, 2012
82 0 0
Pole, naona dalili za manyoya. Mchunie mwezi mzima, akipiga wala usipokee uone kama atakuhangaikia.

Ukiona hahangaiki jua wewe si wa moyoni, ni wa mfukoni tu. Ukiona anahangaika jua huyo aliyenaye huko Mwanza ni mshika mapembe tu, anakusaidia kulea ila wewe ndio muwojaji.

Cha msingi, je mko wangapi?
thaks for ur comment my friend, i'l work on it bro.
 
Zahra White

Zahra White

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
595
Likes
244
Points
60
Zahra White

Zahra White

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
595 244 60
wewe huna pesa tafuta pesa hivo vi10,000 usimuchoshe mutoto wa watu
 
M

Marnah

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Messages
1,121
Likes
10
Points
135
Age
32
M

Marnah

JF-Expert Member
Joined May 3, 2013
1,121 10 135
Oh pole sana........labda ni utoto akifikisha hiyo miaka 3 ijayo atakua
 
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Messages
8,762
Likes
64
Points
0
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2013
8,762 64 0
Pole sana ndugu kwa yanayokusibu na ninakupa pole nyingine kwakuja kuikosa bikra original unayoisubiria na kukutana na bikra ya kichina baadae..........!!!

Bytheway kuna kila dalili ya mpenzio kukucheat, hivyo visingizio vyake wala havina hata maana............ Eti yupo saloon, na marafiki masikio yanauma....... Kaah!!! Kaah!!!!!! Hebu shtuka ndugu utakuja kosa mwana na maji ya moto......!

Hicho kilio si kwamba analia eti kwasababu anakupenda, analia kwasababu atakosa msaada wako wa kifedha.

Pia hebu jaribu kuwakimya kidogo usimpigie wala kumtext kwa muda mpaka yeye atakapo kutafuta uone ata act vipi.
 
A

Andrew Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Messages
317
Likes
37
Points
45
A

Andrew Jr

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2012
317 37 45
Mimi ni kijana mwenye umri wa 27 mnamo mwaka 2010 nilikutana na binti ambaye nilitokea kumpenda sana, ila kwake ilikua ngumu kunielewa lengo langu, siku zilivo zidi kwenda akawa ananielewa, 2011 akaniambia hayuko tayari kushea sex kwan alikua chuo mpaka malengo yake yatime, kwangu haikua ngum kwani nilimpenda sana tukaendelea vizuri 2012 akahitimu cheti chake cha ualimu, kwa kipindi chote tulikua tunachati vizuri na mhudumia kadri ya uwezo wangu,baada ya kuhitimu mwaka jana akawa home kwao tuliendelea vizur bila mgegedo wowote nilijitahid kua mwaminifu sana coz yeye mwenye aliniambia bado yuko bikra so kama na malengo na yeye niwe mvumilivu, tatizo ilianza matokeo yalipo toka mwenzangu akapangiwa mwanza alipo ondoka nikawa nampa sapoti ya kifedha kidogo na mawasiliano yalikua mazuri ila baada ya miez miwili mambo yakabadilika nikipiga simu anakata then anatuma text nipo na wenzangu subiri nifike home ntakutafuta hii hali ikazidi ikaanza kunipa wasi wasi nikimuuliza inakuaje hupokei simu ukiwa na wenzako anakua mkali wakati mwingine nikimtext hajibu chochote nikimwambia neno I LOVE U anasema POA nikimuuliza inakuaje umebadilika anajibu kwani wewe UNAONAJE nikimuuliza nini tatizo hataki kuniambia anasema namchosha na maneno hayo hayo yani neno I LOVE U wakati mwingine anani-text I LOVE U DADY kweli na stress sana ilifika mahali nikamwambia tuachane kwenye simu alilia sana akesema nimempotezea mda na bado ananipenda sana nikarudisha moyo, lakina bado hiyo tabia inaendelea mpaka sasa nimemsaidia sana kwa kila kitu, kuna wakati naelewa kabisa yuko home alikopanga nikimpigia anapokea anaongea kidogo anakata nikipiga ana-text niko bize mara niko saloon siwezi ongea na simu mbele za watu sasa hii kitu inanitatiza sana maana usiku tu ndo huwa tunaweza ongea kuanzia saa tatu mpaka hata saa sita usiku na asubuhi huwa namuamsha mapema kwa kwenda kazini, yeye ni binti wa miaka 22 na maelezo yake nikuja kuishi na mimi coz nimemvumilia na mimi ndo chaguo lake na anataka niwe mwanaume wa kwanza kuutoa usichana wake jamani nipo njia panda naombeni msaada wenu na konda kwa mawazo kila siku niliomba nimtambulishe home kwetu akakataa kwamba yeye bado mdogo so nisuburi after 3 yrs atakua tayari coz anajipanga kwanza, wakati mwingine nikipiga simu anasema masikio yana muuma so tuongee baadae baada ya hapo nikimpigia simu yake inakua bize hata nusu saa nikimuuliza anasema anaongea namarafiki zake mara mama yake, jamani nisaidieni nifanyaje coz mimi mwenyewe niko mkoa mwingine na nampenda sana sijawahi saliti penzi lake hata cku moja na usiku ananihimiza sana kusali kabla ya kulala, na maswali mengi yasio na majibu kichwani mwangu. MSAADA NDUGU ZANGU
Pole sana ndugu, naona formula za hawa wenzetu zinazidi kuleta utata. Naamini kule anakoishi unapafahamu. Mvute hisia, usipaniki kwa sasa kama hupafahau akwambie. Soma mchezo siku ya siku nenda kama sapraiz. Usitumie watu kumchunguza ni hatari zaidi. Jipange maana hawa wenzetu kuwaweza lazima uwe mjanja na mwenye Dynamic formular za handling. Neno I love you liogope sana siku hizi halina uhalisia.
 
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Messages
10,030
Likes
925
Points
280
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2011
10,030 925 280
Piga chini taka taka huyo.
 
Kiteitei

Kiteitei

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2009
Messages
1,386
Likes
346
Points
180
Kiteitei

Kiteitei

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2009
1,386 346 180
Manyoya yaleeee
 
J

Jhung tiao

Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
82
Likes
0
Points
0
Age
32
J

Jhung tiao

Member
Joined Mar 27, 2012
82 0 0
Pole sana ndugu, naona formula za hawa wenzetu zinazidi kuleta utata. Naamini kule anakoishi unapafahamu. Mvute hisia, usipaniki kwa sasa kama hupafahau akwambie. Soma mchezo siku ya siku nenda kama sapraiz. Usitumie watu kumchunguza ni hatari zaidi. Jipange maana hawa wenzetu kuwaweza lazima uwe mjanja na mwenye Dynamic formular za handling. Neno I love you liogope sana siku hizi halina uhalisia.
okay ndugu i'll do that.
 
wiseboy

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
2,932
Likes
2,338
Points
280
wiseboy

wiseboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
2,932 2,338 280
Najua umewekeza moyo wako kwake, umeegemeza kila k2 kwake...najua how u feel bro, ila huyu akikutenda tu utaingia kwenye kundi letu yani akili kufunguka, yalishatukutaga ya dizain hii yalipotokea yan kuachwa njia panda tulipata stress ajab, tukaona hakuna mwingne wa kuwa nae dunian....lakin huwez amin ck hizi huwa nampongeza huyo dada kwa kunisaidia akili yangu ikapanuka na kuuelewa ulimwengu wa mapenzi.....tena hata wngu alikuwa hpo hapo mwza hvyo tunafanana cjui mwanza kunani? AnyWAY FANYA HIVI KUSANYA KANAUL KAKO KIMIA KIMIA INGIA MWANZA TENA NI VEMA UNGEJUA MTAA NA NYUMBA ANAYOISHI, HALAFU TIA TIMU....KAMA HUMJAMKUTA KAPAKATWA BAHATI, PIA UKIKAA HAPO KWAKE SIKU 2 TU ZINATOSHA KUKUPA UKWEL KWAMBA NI MKE AU KICHECHE...UKIFIKA ANGALIA MAPOKEZI YAKE, JE ATASHTUKA, ATAKOSWA RAHA, ATAKUFUKUZA, ATAKWAMBIA MAMA AKE YUPO AU ATAKUFURAHIA, NA JE ATAKUWA HAIACHII SIMU YAKE, KUWA MAKINI NA SIMU YAKE MAANA HUYO HAWARA AKE WA HUKO ANAWEZA AMBIWA MAMA KAJA KUMBE NI WW.....BAADA YA HAPO HUTAKUWA NA HAJA YA KUTAFUTA MAJIBU JF WALA KWA NDUGU, DO IT BEST
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,679
Likes
2,803
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,679 2,803 280
Hujambo Da Sophy?
Acha vijana wapendane bwana. Biashara ya ngono tufanye sie vikongwe manake maji yanakuwa yashazidi unga na moto.
wewe huna pesa tafuta pesa hivo vi10,000 usimuchoshe mutoto wa watu
 
Last edited by a moderator:
Mbrazili

Mbrazili

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
652
Likes
9
Points
35
Age
27
Mbrazili

Mbrazili

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
652 9 35
Kuna nyimbo ya zamani wanaimba "babu jinga kaa ufikiri mali yako inaliwa......haya mambo yanaumiza roho wakati mwingine kwa sababu we umegeuka ATM....hakuna mapenzi hapo nahiyo bikra utaisikia kwenye bomba tu wenzako wanakula mzigo tuu
 
J

Jhung tiao

Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
82
Likes
0
Points
0
Age
32
J

Jhung tiao

Member
Joined Mar 27, 2012
82 0 0
Najua umewekeza moyo wako kwake, umeegemeza kila k2 kwake...najua how u feel bro, ila huyu akikutenda tu utaingia kwenye kundi letu yani akili kufunguka, yalishatukutaga ya dizain hii yalipotokea yan kuachwa njia panda tulipata stress ajab, tukaona hakuna mwingne wa kuwa nae dunian....lakin huwez amin ck hizi huwa nampongeza huyo dada kwa kunisaidia akili yangu ikapanuka na kuuelewa ulimwengu wa mapenzi.....tena hata wngu alikuwa hpo hapo mwza hvyo tunafanana cjui mwanza kunani? AnyWAY FANYA HIVI KUSANYA KANAUL KAKO KIMIA KIMIA INGIA MWANZA TENA NI VEMA UNGEJUA MTAA NA NYUMBA ANAYOISHI, HALAFU TIA TIMU....KAMA HUMJAMKUTA KAPAKATWA BAHATI, PIA UKIKAA HAPO KWAKE SIKU 2 TU ZINATOSHA KUKUPA UKWEL KWAMBA NI MKE AU KICHECHE...UKIFIKA ANGALIA MAPOKEZI YAKE, JE ATASHTUKA, ATAKOSWA RAHA, ATAKUFUKUZA, ATAKWAMBIA MAMA AKE YUPO AU ATAKUFURAHIA, NA JE ATAKUWA HAIACHII SIMU YAKE, KUWA MAKINI NA SIMU YAKE MAANA HUYO HAWARA AKE WA HUKO ANAWEZA AMBIWA MAMA KAJA KUMBE NI WW.....BAADA YA HAPO HUTAKUWA NA HAJA YA KUTAFUTA MAJIBU JF WALA KWA NDUGU, DO IT BEST
okay bro nimekuelewa halafu pole sana kaka, naanza kupata matumaini kwa ushauri wenu kaka. Thanks
 
wiseboy

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
2,932
Likes
2,338
Points
280
wiseboy

wiseboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
2,932 2,338 280
Piga chini taka taka huyo.
...haina haja ya kupiga chini aende kwanza ajilizishe asije kupewa yeye lawama kwamba ndo kamtosa.....gal frnd wangu wa kwanza in my lyf loved one, alikuwa hapo mza akawa anafanya kama huyu yan cm anaifungua mnaongea pale anapotaka yeye then inazimwa, ck nilipomwambia nipo mwanza akachanganyikiwa na hakuiwasha cm yake mwez mzima, kumbe kawekwa kimada na mjeda mmoja mwenye wake wawili huko kwao, do u knw the painful i felt, asikwambie m2, bt huwez amin huyo gal hajaolewa to the moment na anajilaumu sana kwamba alikosea sana, mm nilimwambia nimemsamehe ila tuwe kama ndg coz tulitoka sehem moja, life goes on kamanda.....hawa viumbe wanataka akili sana.
 
Himidini

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Messages
5,554
Likes
197
Points
145
Himidini

Himidini

JF-Expert Member
Joined May 8, 2013
5,554 197 145
^^
Huyo ndiye mwanamke,,ni kama kivuli ukimfuata sana anakukimbia...Ukimkimbia anakufuata.
^^
Kwa uzoefu wangu,huyo amekufanya Plan B anakujenga uendelee kumngoja wakati na yeye anamlilia anaempenda kwa dhati,akimkosa basi utakuwa the last alternative.
^^
Kaka,,ushauri wangu
Mwache aende Kama ni kurudi mwache arudi mwenyewe.
Dont force to be loved
^^
 
J

Jhung tiao

Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
82
Likes
0
Points
0
Age
32
J

Jhung tiao

Member
Joined Mar 27, 2012
82 0 0
^^
Huyo ndiye mwanamke,,ni kama kivuli ukimfuata sana anakukimbia...Ukimkimbia anakufuata.
^^
Kwa uzoefu wangu,huyo amekufanya Plan B anakujenga uendelee kumngoja wakati na yeye anamlilia anaempenda kwa dhati,akimkosa basi utakuwa the last alternative.
^^
Kaka,,ushauri wangu
Mwache aende Kama ni kurudi mwache arudi mwenyewe.
Dont force to be loved
^^
thanx bro i got u.
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
31,005
Likes
6,458
Points
280
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
31,005 6,458 280
Hizi bikira zitawaponza
 
Forum statistics

Threads 1,274,856
Members 490,833
Posts 30,526,099