Nisaidieni wana mmu

hehehe havai kimini saa hizi kafunga bwana wee. ngoja mfungo uishe. hivi hii thread inahusu nini?
ahahahahhahahhaha King'asti mi staki!
by the way kile kimini cha pinki si umletee Da Sophy
kufundisha mtu kazi ujue!oh!

afu siku hizi umekuwa mamluki. kisa shemeji Boflo kaninunulia boyfriend watch. ntakununulia mchuchumio kuna mahali kuna sale ya maana
achana nae huyi king'asti
sasa kwani anajua maana ya funga?
ndo mana kayatamka hayo!
ila mi najua anayejua maana ya funga ,ngoja nimwite Kaunga hebu njoo huku bana utwambie maana ya funga King'asti hajui asee!
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni kijana mwenye umri wa 27 mnamo mwaka 2010 nilikutana na binti ambaye nilitokea kumpenda sana, ila kwake ilikua ngumu kunielewa lengo langu, siku zilivo zidi kwenda akawa ananielewa, 2011 akaniambia hayuko tayari kushea sex kwan alikua chuo mpaka malengo yake yatime, kwangu haikua ngum kwani nilimpenda sana tukaendelea vizuri 2012 akahitimu cheti chake cha ualimu, kwa kipindi chote tulikua tunachati vizuri na mhudumia kadri ya uwezo wangu,baada ya kuhitimu mwaka jana akawa home kwao tuliendelea vizur bila mgegedo wowote nilijitahid kua mwaminifu sana coz yeye mwenye aliniambia bado yuko bikra so kama na malengo na yeye niwe mvumilivu, tatizo ilianza matokeo yalipo toka mwenzangu akapangiwa mwanza alipo ondoka nikawa nampa sapoti ya kifedha kidogo na mawasiliano yalikua mazuri ila baada ya miez miwili mambo yakabadilika nikipiga simu anakata then anatuma text nipo na wenzangu subiri nifike home ntakutafuta hii hali ikazidi ikaanza kunipa wasi wasi nikimuuliza inakuaje hupokei simu ukiwa na wenzako anakua mkali wakati mwingine nikimtext hajibu chochote nikimwambia neno I LOVE U anasema POA nikimuuliza inakuaje umebadilika anajibu kwani wewe UNAONAJE nikimuuliza nini tatizo hataki kuniambia anasema namchosha na maneno hayo hayo yani neno I LOVE U wakati mwingine anani-text I LOVE U DADY kweli na stress sana ilifika mahali nikamwambia tuachane kwenye simu alilia sana akesema nimempotezea mda na bado ananipenda sana nikarudisha moyo, lakina bado hiyo tabia inaendelea mpaka sasa nimemsaidia sana kwa kila kitu, kuna wakati naelewa kabisa yuko home alikopanga nikimpigia anapokea anaongea kidogo anakata nikipiga ana-text niko bize mara niko saloon siwezi ongea na simu mbele za watu sasa hii kitu inanitatiza sana maana usiku tu ndo huwa tunaweza ongea kuanzia saa tatu mpaka hata saa sita usiku na asubuhi huwa namuamsha mapema kwa kwenda kazini, yeye ni binti wa miaka 22 na maelezo yake nikuja kuishi na mimi coz nimemvumilia na mimi ndo chaguo lake na anataka niwe mwanaume wa kwanza kuutoa usichana wake jamani nipo njia panda naombeni msaada wenu na konda kwa mawazo kila siku niliomba nimtambulishe home kwetu akakataa kwamba yeye bado mdogo so nisuburi after 3 yrs atakua tayari coz anajipanga kwanza, wakati mwingine nikipiga simu anasema masikio yana muuma so tuongee baadae baada ya hapo nikimpigia simu yake inakua bize hata nusu saa nikimuuliza anasema anaongea namarafiki zake mara mama yake, jamani nisaidieni nifanyaje coz mimi mwenyewe niko mkoa mwingine na nampenda sana sijawahi saliti penzi lake hata cku moja na usiku ananihimiza sana kusali kabla ya kulala, na maswali mengi yasio na majibu kichwani mwangu. MSAADA NDUGU ZANGU

Bro!!kwa maelezo yako haina haja ya kwenda Mwanza..uyo kuna mtu anampenda na huyo mtu anamzingua so sababu kajua umekufa kwake,kaamua kukuegesha kama spea.
Kimbia tena faster,miaka 22 hawezi akawa na reason kama hizo.
 
Najua umewekeza moyo wako kwake, umeegemeza kila k2 kwake...najua how u feel bro, ila huyu akikutenda tu utaingia kwenye kundi letu yani akili kufunguka, yalishatukutaga ya dizain hii yalipotokea yan kuachwa njia panda tulipata stress ajab, tukaona hakuna mwingne wa kuwa nae dunian....lakin huwez amin ck hizi huwa nampongeza huyo dada kwa kunisaidia akili yangu ikapanuka na kuuelewa ulimwengu wa mapenzi.....tena hata wngu alikuwa hpo hapo mwza hvyo tunafanana cjui mwanza kunani? AnyWAY FANYA HIVI KUSANYA KANAUL KAKO KIMIA KIMIA INGIA MWANZA TENA NI VEMA UNGEJUA MTAA NA NYUMBA ANAYOISHI, HALAFU TIA TIMU....KAMA HUMJAMKUTA KAPAKATWA BAHATI, PIA UKIKAA HAPO KWAKE SIKU 2 TU ZINATOSHA KUKUPA UKWEL KWAMBA NI MKE AU KICHECHE...UKIFIKA ANGALIA MAPOKEZI YAKE, JE ATASHTUKA, ATAKOSWA RAHA, ATAKUFUKUZA, ATAKWAMBIA MAMA AKE YUPO AU ATAKUFURAHIA, NA JE ATAKUWA HAIACHII SIMU YAKE, KUWA MAKINI NA SIMU YAKE MAANA HUYO HAWARA AKE WA HUKO ANAWEZA AMBIWA MAMA KAJA KUMBE NI WW.....BAADA YA HAPO HUTAKUWA NA HAJA YA KUTAFUTA MAJIBU JF WALA KWA NDUGU, DO IT BEST

Unauliza Mwanza kuna nini? Mbwana wa kisukuma si mchezo.......Poleni
 
kama unatakujua mtu tabia yake halisi ni kupata kipato kinachomwezesha kuishi. shituka
 
mwezi wa toba ukiisha tu hakikisha huyo mume wa mtu katia mimba ingine. ama kesharudi kwa mkewe? unammisije sasa maskini? Cc snowhite, Kongosho

He he he, namuogopa da Sophy, nisije nikaingia kwenye black list yake
Ana Phd ya ugomvi na kurushana roho

kwani mmeshafunga ndoa? kumfuturisha mume wa mtu sio dhambi? Na ina maana hamkurubiani?Asante kwa kunielewesha. na mie ukinialika futari inshaallah nnaweza silimu.

Labda wamerekebisha hivi kifungu kwenye katiba
 
kwani mmeshafunga ndoa? kumfuturisha mume wa mtu sio dhambi? Na ina maana hamkurubiani?Asante kwa kunielewesha. na mie ukinialika futari inshaallah nnaweza silimu.

Ndoa unaijua au umesimuliwa? Au mwenzetu una cheti cha ndoa ndicho unachokiita ndoa? Na ni wapi ulikojifunzia hiyo dini ya kwamba kufuturu ni lazima kukurubiana? Suala la kusilimu ni kubwa na la maana sana huwezi kulinganisha na mwaliko wa futari tu.
 
wewe huna pesa tafuta pesa hivo vi10,000 usimuchoshe mutoto wa watu

sio ushauri wa kumpa mtu aliyeomba msaada, kama hauko tayari sio lazima kujibu post za watu, watu wengine mnakera sana unafikiri wewe hutokuja kupata tatizo! umekera watu na sio kwamba umefurahisha, jifunze kusaidia watu wakiwa na shida
 
Back
Top Bottom