jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,128
- 8,650
mleta mada unataka tukujibu vip maana kil a unavyojibiwa unatuuliza the same question si uende mkomalie huyo mwanafnz wko,af huyu atakuwa ndo wale walimu wa field huyu maana ndo tabia zao hzo
ukague nini?Unaweza kututumia kwanza vyeti vyako tukukague ?
Ahsante mkuu wangu.!Sio "Walaqhi" sahihi ni "Wallahi". Hiki ni kiapo.
Mara ya kwanza nilihisi ni kosa la kiandishi.
Ahsante.
mkuu ni kweli sio shida lakini najaribu kumvuta anitajie sehem sahihi ya namba yangu kaitoa wapi yeye ni she
hapana mkuu field imeisha kitambo sana mwaka 2017 saiv nipo private schoolmleta mada unataka tukujibu vip maana kil a unavyojibiwa unatuuliza the same question si uende mkomalie huyo mwanafnz wko,af huyu atakuwa ndo wale walimu wa field huyu maana ndo tabia zao hzo
Huu ni uharibifu sababu unabadilisha maana ya neno na unabadili pia umbile lake.Ahsante mkuu wangu.!
Ila wenzio tunaandika kwa swagg'..!
Hiyo uloleta ni ishu ndogo sana kwa mwalimu,mtoto wa kidato cha nne,kwa sababu tunachohisi wewe hauna nia nzuri na huyo mwanafunzi na unaonekana we ni mwalimu kijana ambae hujafikisha miaka thelathini na sita.ukague nini?
Hawezi kunipata mkuu mimi katika mabinti nilioishi nao hayupo hata m1 nimenyanyua domo langu kumtokea..unatengenezewa mazingira ya kupigwa tukio na ushahidi wa msg zitalala na wewe mbere kwa mbere, tutakuona kwenye vyombo vya habari endelea kushangaa tu mkuu
ni kweli ila wapi kaitoa namba yangu tuHiyo uloleta ni ishu ndogo sana kwa mwalimu,mtoto wa kidato cha nne,kwa sababu tunachohisi wewe hauna nia nzuri na huyo mwanafunzi na unaonekana we ni mwalimu kijana ambae hujafikisha miaka thelathini na sita.
Ishu kama hiyo kitaaluma inazimika chap.
sio mtoto mkuu inaonesha anataka kujua kusudio la kutafutwa na ndiko kutakuja kumletea shidaIla siku hizi Kuna uhaba wa wanaume, Kama unaona ni kero kwako na humuelewi mpige block, au mchimbe mkwara simple as that, masuala ya kumkomalia amepata wapi namba yako na ni mwanafunzi wako inaonyesha jinsi gani ni mtoto
In short mwalimu Kuna kitu anatakitaka kw amwanafunzi, jamii yetu imekua corrupt mfano wewe sahivi unaweza ukamuomba mwanamke namba lakin wazo la kwanza atadhani unataka kumtongoza kumbe sioUmezunguka sana ila unataka kujua kwanini kukutafuta nawala sio kuhusu namba katoa wapi.... Alafu ushajua ni mwanafunzi wako tena wakike kwanini usimblock? unaapply curiosity sehemu ambayo sio sahihi itakucost sana....
Kwani ukimblock utapungukiwa na nini? au huyo humchukulii kama mwanafunzi ila unamchukulia kama pisi ya form 3....