Nisaidieni wana CIA huyu mwanafunzi namba yangu kaitoa wapi

mleta mada unataka tukujibu vip maana kil a unavyojibiwa unatuuliza the same question si uende mkomalie huyo mwanafnz wko,af huyu atakuwa ndo wale walimu wa field huyu maana ndo tabia zao hzo
 
mleta mada unataka tukujibu vip maana kil a unavyojibiwa unatuuliza the same question si uende mkomalie huyo mwanafnz wko,af huyu atakuwa ndo wale walimu wa field huyu maana ndo tabia zao hzo
hapana mkuu field imeisha kitambo sana mwaka 2017 saiv nipo private school
 
tumia hiyo busta
 
Attachments

  • IMG-20200528-WA0042.jpg
    IMG-20200528-WA0042.jpg
    55.6 KB · Views: 10
Ahsante mkuu wangu.!
Ila wenzio tunaandika kwa swagg'..!;)
Huu ni uharibifu sababu unabadilisha maana ya neno na unabadili pia umbile lake.

Huwa sipendi jinsia ya kike aniite "mkuu",nina sababu zangu zaidi ya mbili juu ya hili.
 
unatengenezewa mazingira ya kupigwa tukio na ushahidi wa msg zitalala na wewe mbere kwa mbere, tutakuona kwenye vyombo vya habari endelea kushangaa tu mkuu
 
unatengenezewa mazingira ya kupigwa tukio na ushahidi wa msg zitalala na wewe mbere kwa mbere, tutakuona kwenye vyombo vya habari endelea kushangaa tu mkuu
Hawezi kunipata mkuu mimi katika mabinti nilioishi nao hayupo hata m1 nimenyanyua domo langu kumtokea..
 
Hiyo uloleta ni ishu ndogo sana kwa mwalimu,mtoto wa kidato cha nne,kwa sababu tunachohisi wewe hauna nia nzuri na huyo mwanafunzi na unaonekana we ni mwalimu kijana ambae hujafikisha miaka thelathini na sita.
Ishu kama hiyo kitaaluma inazimika chap.
ni kweli ila wapi kaitoa namba yangu tu
 
Ila siku hizi Kuna uhaba wa wanaume, Kama unaona ni kero kwako na humuelewi mpige block, au mchimbe mkwara simple as that, masuala ya kumkomalia amepata wapi namba yako na ni mwanafunzi wako inaonyesha jinsi gani ni ulivyo bado-mtoto a.k.a mvulana
 
Umezunguka sana ila unataka kujua kwanini kukutafuta nawala sio kuhusu namba katoa wapi.... Alafu ushajua ni mwanafunzi wako tena wakike kwanini usimblock? unaapply curiosity sehemu ambayo sio sahihi itakucost sana....

Kwani ukimblock utapungukiwa na nini? au huyo humchukulii kama mwanafunzi ila unamchukulia kama pisi ya form 3....
 
Ila siku hizi Kuna uhaba wa wanaume, Kama unaona ni kero kwako na humuelewi mpige block, au mchimbe mkwara simple as that, masuala ya kumkomalia amepata wapi namba yako na ni mwanafunzi wako inaonyesha jinsi gani ni mtoto
sio mtoto mkuu inaonesha anataka kujua kusudio la kutafutwa na ndiko kutakuja kumletea shida
 
Umezunguka sana ila unataka kujua kwanini kukutafuta nawala sio kuhusu namba katoa wapi.... Alafu ushajua ni mwanafunzi wako tena wakike kwanini usimblock? unaapply curiosity sehemu ambayo sio sahihi itakucost sana....

Kwani ukimblock utapungukiwa na nini? au huyo humchukulii kama mwanafunzi ila unamchukulia kama pisi ya form 3....
In short mwalimu Kuna kitu anatakitaka kw amwanafunzi, jamii yetu imekua corrupt mfano wewe sahivi unaweza ukamuomba mwanamke namba lakin wazo la kwanza atadhani unataka kumtongoza kumbe sio

Huyu mwanafunzi anaweza akawa ana nia nzuri tu, Ila mwalimu ameshamuwazia mabaya
 
Back
Top Bottom