Nisaidieni wana CIA huyu mwanafunzi namba yangu kaitoa wapi

Waalimu wa kisasa bhaana! Mnashangaza sana aisee!
Kitu kidogo kama hiki hadi ulete Thread kabisa!?

Kwani ulinunua simu ili namba yako uwe nayo mwenyewe?
Kwanza ujue yeye kuwa na namba yako siyo tatizo.

Ila wewe mwambie asitume message yoyote ya mapenzi. Au mbaya.
Ila jichunge usiingie tamaa ukajikuta Segerea.
 
Sisi kama wazazi tumeshapata picha wewe ni mwalimu wa aina gani, maana kuna walimu hata namba yake itokee tu iingie kwa simu yako kimiujiza walaqhi unaweza acha hata shule, sasa wewe mpaka msg unatumiwa..!?

Enwei, suala la kupata namba siyo muhimu, hebu kwa sasa tumia ile taaluma yako ya ualimu, mbona suala dogo hilo tu kutatua? Otherwise sisi wazazi tutawaza una nia ovu.!!
Jibu la akili sana maana wakati mwingine watu wanaacha kusimamia maadili na kanuni na kuanza kujiuliza maswali kibao ya namba ameipata wapi
 
Halafu ukaja kutuuliza sisi kweli!!

Haya bwana, hakuna mzazi mwenye namba zako? Mara nyingi wanafunzi hupata namba zatu kwa wazazi wao. Lakini pia kama mmoja akishaipata ni rahisi kuwapa wenzie.

Mie huwa hata siwaulizi wameitoa wapi maana unakuta kanipigia au kanitext ana shida ya muhimu inayohitaji msaada wangu. Ila wale walokwisha hitimu kama sio shida basi hunipigia tu na kunisalimia na sijawahi kuona kama ni tatizo.
 
Siku ya juma 3 kuna missed call iliingia kwenye simu yangu majira ya sa 3 asubuhi

Nikaituma sms akajibu ni mimi mwanafunzi nilikua nataka kujua kama upo hai Corona umesalimika. Swali la kwanza namba yangu umeitoa wapi akajibu kwani ni vibaya kua na namba yako.

Niliokota ofisini iliandikwa kwenye karatasi nikaichukua, sikuamuamini kesho yake kanitafuta tena nikambana aseme akajibu vile, binafsi sina kabisa mazoea na wanafunzi nikiwa shuleni, aliko mtandao unasumbua. Leo kasijili halotel na kanitumia sms mchana nilijua hata tuma.

Swali hadi sasa hivi najiuliza huyu mwanafunzi wa form 3 namba yangu kaitoa wapi? Sijawai andika namba yangu kokote pale ofisini. Kaacha najiuliza hadi Leo huyu mtoto namba kaitoa wapi, nimeona niliete kwenu najua kuna wazazi humu pia. Au mme shawano experience hali hii, nisipojibu sms mara ooh au mkeo kakukataza kujibu sms? Dah
Mkuu mimi ni mashaka na wewe Kwanza cha kwanza Mzee wa kusawazisha ndo id yako basi kingine tushajua asili yako! Ila.mimi simo
 
Nitumie namba yake inbox nitakuletea mrejesho namba yako kaitoa wapo.
Actually nlivomaliza udsm nlienda kufundisha tempo suule flan mbagala. Hivi vitu nlikutana navyosana na mpaka sasa mm watoto wa kike huwa wananhangaika na mm sana huwa wanakula mkia kama sina akili nzuri ili heshima iwepo.sema mm nafundisha chuo. Mm darasa langu nawapa namba mwenyewe coz lazima kila dsrasa waanzishe griup la whatasa ili niwe nao karibuninapomaliza mwaka najiondoa wanabaki wenyewe
 
Back
Top Bottom