Usikate tamaa mbona wanaume tunaojtambua tupo,sema tu nivigum kumpata aliesahihi kwa kila kitu.unaweza kupata mwingine lakin nae akawa na mapungufu yake japo si ktk matumizi mabovu
Labda jinsi anavyozipata zinamruhusu kutumia namna hiyo
You are strong coz he is weak. Mungu kafanya hivyo ili tubebeane mizigo. Imagine upate mtu ambaye yuko serious na maisha kama wewe, hiyo nyumba hata watoto watakimbilia kwa bibi yao.
Mchukulie mzigo, akikuoa mtaweka utaratibu wa nani Procurement officer na nani awe planning officer. Mtaishi usiwe na wasiwasi kihivyo.
Angalia kitu kama kwenye hizo pesa hauna mchango ata siku moja atakuja kukusikiliza make huwezi kuwa mpanga matumizi huku wewe si mtafutaji!
Wanawake wengi wanatabia ya kuwa marefaa huku wakitegea kushiriki ktk match ya kutafuta pesa. Hakikiasha unajua ile pesa anaipataje wenda anazispend na wale wanao mpa mchongo wa pesa nyingine. Namuondoe viuno kitandani mkasake pesa siyo mnajifanya wapanga miradi mkisha ona pesa.
Smtmz namuwekea lakn ni mtihani sana my dia!usiombe upewe mtu hana wazo la maendeleo
Ebu kumbuka cku ya kwanza kukutana naye ilikuaje? Kutumia pesa mm sion tatizo kikubbwa ni mtafutaji?
Mana nn rfk yangu mmoja naye ni mtumiaji xna wa hela ila kzn kwake anaweza ingiza mara kum anazotumia!
I wish ningekupata ukawa wangu,ndani direct
upewe au uchague...hilo ni chavuo lako.
Of coz najua anaipataje na mie pia nachangia upatikanaji!
Naamini mko salama wapendwa
Nna tatizo moja nina mpenz wangu ambaye Mungu akipenda nafkiria awe baba watoto
Tatizo alonalo ni matumizi mabaya ya pesa,yani anaweza tumia hata laki 5 kwa siku 1kwa mambo yaso na msingi mfano anunue vitu vya hovyo kwa gharama kubwa kifupi ni mfujaji wa pesa!
Mimi toka nipo mdogo baba yangu alinifundisha economy so ndo nipo hivyo,
Nilishamshauri mara nyingi sana lakini naona ni tabia kwa hiyo inakuwa ngumu kuisha/kuiacha
Napata hasira muda mwingne nawaza atakuja kunisumbua mbeleni coz nipo serious na life huwa sipendi mzaha kabisa napenda maendeleo!:
Nishaurini wakuu nifanyeje kuhusiana na hili jambo!
Of coz labda nalo Ni tatizo
watu wa aina hiyo ndio wenye zali la kupata pesa, anzisha mradi wowote akizipata unamwelezea shida kuwa umekwama kwenye mradi, hiyo inaweza ikasaidia kwa njia moja au nyingine kusevu angalau kidogo, lakini usizifanye ziwe zako binafsi bali kwa maendeleo ya familia yenuNaamini mko salama wapendwa