Naamini mko salama wapendwa
Nna tatizo moja nina mpenz wangu ambaye Mungu akipenda nafkiria awe baba watoto
Tatizo alonalo ni matumizi mabaya ya pesa,yani anaweza tumia hata laki 5 kwa siku 1kwa mambo yaso na msingi mfano anunue vitu vya hovyo kwa gharama kubwa kifupi ni mfujaji wa pesa!
Mimi toka nipo mdogo baba yangu alinifundisha economy so ndo nipo hivyo,
Nilishamshauri mara nyingi sana lakini naona ni tabia kwa hiyo inakuwa ngumu kuisha/kuiacha
Napata hasira muda mwingne nawaza atakuja kunisumbua mbeleni coz nipo serious na life huwa sipendi mzaha kabisa napenda maendeleo!:
Nishaurini wakuu nifanyeje kuhusiana na hili jambo!