Nisaidieni, upendo unapungua kwa mume wangu

Sasa mtu anaetoa kauli za namna hii bila hekima ni mtu wa kukaa nae na mtoto mdogo. Mtakuza mtu wa namna gani hapo? Acha kumuendekeza. Mbeya nyumba zipo kibao bei chee tu hama tena hata usiage, akija akute haupo tu. Ujumbe ataukuta mezani.
Yaan jamani mm navyochukia kutukanwa, siku nije nitukaniwe wazazi wangu ntalia mpk machozi ya damu kbs kwa hasira.
Maana huwa nikitukanwa mm tu nanuna mbaya mpk atajutia sana hilo kosa.
Na actually sipendi kbs karaha kwenye moyo wangu, km nimekosea ongea tu lkn sio kutoa matusi.
 
Alafu sababu ya kujiliza na kuomba msamaha ameshaona we ndo mwanamke pekee waweza vumilia ujinga wake ndo maana anakupigia magoti usiondoke,ujue watu wa hvo wanaakil sana na kitu kingine jamaa yako inawezekana ana inferiority complex flan
Jamaa anamfanya mke wake km daraja tu, huenda kuna urahisi flani wa maisha anaupata toka kwa huyo dada.
 
No kipindi tupo uchumba hakuwa anaonyesha hizo tabia,tulipofunga ndoa baada ya miezi kadhaa ndo nikawa nashangaa baadhi ya tabia ,mfano anaweza kufunga samaki mzima sato kama kulikuwa na kifunction kazini ,but akija nampashia kwa oven anakula pekee yake anamaliza namwangalia ,
daaaaah pole
 
No kipindi tupo uchumba hakuwa anaonyesha hizo tabia,tulipofunga ndoa baada ya miezi kadhaa ndo nikawa nashangaa baadhi ya tabia ,mfano anaweza kufunga samaki mzima sato kama kulikuwa na kifunction kazini ,but akija nampashia kwa oven anakula pekee yake anamaliza namwangalia ,
Heeee hiyo nomaaa uwiiii
Aisee kujuana ni muhim
 
Amina dear ,huwa nafanya maombi hata kila ijumaa tuna maombi kanisani mara chache sana kukosa labda niwe nimetingwa kazini
Anza ratiba ya maombi yako binafsi sio kutegemea ya kanisani tu!
Kuwa na ratiba ya kuombea familia yako.
Nb,lkn hakilisha unapoingia kwny maombi,huna uchugu moyoni na unesamehe
 
Kipindi nimefunga ndoa siku hiyo usiku ,alinambia nimekuoa but wasichana was nje siwezi waacha ,but kipindi cha a mwanzo nimepata Shida sana ,nikawaona wasimamuzi wangu wa ndoa wakamshauri akapunguza but nilimshakamata kalala na binti wa kazi ndani,nikamwambia naomba tuachane hapo mtoto akiwa na miaka 3 ,akanibembembeleza sana,akaomba msamaha yakaisha,but kuna kipindi akawa anatongoza mabinti ,nikasema sasa inabidi tuachane ,akalia sana akasema umeona coz wazazi wangu wamefariki ndo unataka kuniacha sawa,huruma ikaniingia tukayamaliza ,kwa sasa naona ametulia hata Kanisani anahudhuria vizuri tu
Heeeeee mwanaume wa kuniambia live hivo!??? Aiseee nitamfunga huko chini kunakompa kiburi halafu aone
 
Amen Mpendwa barikiwa kwa ushauri ,nitaangalia namna ya kuufamyia kazi,but sikupenda kanisani wajue kwasababu mimi ni mwenyekiti wa akina mama kanisani ,kuna vitu sitaki wajue kabisa
ukionana na mwanaume hawatajua otherwise mchungaji ni mbeya, wachungaji wengi wana siri nyingi za waumini wao, lakini ndio makuhani hao hao wakiwa waaminifu hutupeleka mbele za Mungu kwa mahitaji yaliyo juu yetu.
 
Kwakweli nimeshangaa,mwanaume ni mchoyooo balaa,uwiiiii
Ila mi nigemfurahisha,hiyo samaki tungekula wote,na hela aliyonisonesha nisingempa!
Halafu ningempotezea
kwakeli wewe unazaliwa na Mke wa gwajima.MNA moyo sawa, yaan ale samaki peke yake nipo namuona? Siwezi mwacha cha kufanya najisogeza natoa kichwa nakila naona atafanyaje sio kwa uchoyo huo.

Wewe Dada sikujii ila Leo na kuweka kwenye maombi.

Ale samaki mzima mwenyewe aje kitandani ale na papuchi yako?? No way!!!
 
Hapana kiufupi hata baadhi ya baba zake wakubwa kwa wadogo wana hizo tabia,watatu walishaachana na wake zao wa mwanzo ,mmoja nilimkuta wakati naolewa alinisimulia mengi sana akasema ukoo wao yaani wa mume wake ( ambae mimi ni baba mkwe wangu mdogo) akasema wana roho ya kikatili baba yake alishamuuaga mke wake wa kwanza kwa kumpiga na kamche ka kutwangia karanga yaani yaani babu
Heeee ,wanahitaji deliverance aisee bila hiyo ni mateso,sbb hapo inaonyesha kuna familiar spirit zinazofuatilia!
 
Heeee hivi waawakutaga wapole eeh, uwiii Yesu nisaidie tu!
Siwezi aiseer
Hiyo hali ya maneno machafu na matusi ndo mimi binafsi huwa yananiumiza nikikumbuka but kipigo kanipiga mpaka na kisu but maumivu yake siyafeel kama matusi mpaka anakutukania wazazi ,mfano nilimwambia kwa nini unatoka nje ya ndoa ,akanambia kamuulize mamaako kwanini babako ana...mba nje ,akikupa jibu uje unambie ,yaani roho inaniumaga sana,nikamwambia naomba uwe unanitukana mimi ,usiwaaingize wazazi wangu
 
Mmh sio mchezo!
Eti upendo uliondoka na wazazi,like serious!? Jmn kuna ndoa nyingine kweli mateso
Yesu nisaidie
Huo ni utoto tu halafu kutumia imani kwenye mambo yanayohitaji matumizi ya logic ni uzwazwa. Mtu anakushona nakoz badala ukimbie wewe unaita Yesu nisaidie? Hizi imani zenu zitawafikisha mahala fulani
 
Sasa mtu anaetoa kauli za namna hii bila hekima ni mtu wa kukaa nae na mtoto mdogo. Mtakuza mtu wa namna gani hapo? Acha kumuendekeza. Mbeya nyumba zipo kibao bei chee tu hama tena hata usiage, akija akute haupo tu. Ujumbe ataukuta mezani.
Nashindwa kuelewa kapataje hata hiyo mimba ya pili,nisingeweza kwakweli!
 
Back
Top Bottom